Hivi ilikuaje hadi urafiki wa baba na jirani yake tolu kuvunjika?

Tolu alimwingiza mkenge kwenye ununuzi wa njiwa. Akawajengea na kiota nyumbani kule lakini njiwa wenyewe wamekosa afya ya kuruka. Muda wote wako ardhini kama kuku...
Hahahaha tolu ni mtumbad sana.
 
Tolu sio mtu. Ni devil incarnate. Kumbuka alikua afisa mwandamizi kwenye geshi la ng'ombe, akasaidiwa na ng'ombe Hadi akapata urais, unakumbuka Kuna kipindi alitaka kuzipiga na ng'ombe Hadi kutungiana mipaka? Unakumbuka alikua hapatani na mfu mmoja jirani yake aliyesema nchi yake haina Corona na ikamuondoa siku chache kabla ya kukabidhi kijiti. Unakumbuka tolu na handsome boy walikua maji na mafuta
 
Capt Tamar.
 

Kwa maelezo hayo wewe unastahili ujengewe sanamu pale posta
 
Tolu ana akili sana, akaona ana deal na mtu siye, akajikata kisilesi.
 
Tall ni mtusi, baba yako alikuwa mhutu ulitegemea wangeelewana.
Rafiki wa baba yako alikuwa Nkurunzinza mhutu mwenzie mjinga mwenzie ndio maana Covid imewafyekelea mbali wakiwa madarakani.
mhutu mwenzie mjinga mwenzie ndio maana Covid imewafyekelea mbali wakiwa madarakani.πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Sass si ungemuuliza baba yako kabla hajavuta kamba,
Kwani sie tulikuwepo?!
 
Mjomba wa gorofa la nne aliandaa mpaka fimbo za kumchapa Tolu akizingua. Tolu akawa mpole kama paka wa dukani.
Ila Tolu naye kama Kigogo tu maana hata msiba ulipotokea alijisahaulisha kama hajui mpaka juzi alipomtuma kitukuu chake kuja kutoa pole.
Hapa ndio nimejua tolu Ni nani
 
Mama anajiandaa kwenda kwa jirani tolu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…