Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Ninyi kizazi cha nyoka, lini mtaweza kuziona fursa mnazotayarishiwa?Hiki kitu bado kinanipa ukakasi sana. Nimeona post muda huu linkedin ya yule Peter kamshika mkono Rais nikakereka sana. Japo ni post ya mwezi uliopita ila imeniumiza.
Pengine ni ushamba wangu lakini dah, kila nikiangalia naona kama Rais wetu ameonekana wa kawaida sana. Ni kama vile urais ni kazi cheap kabisa. Nafasi ya urais imedhalilika sana.
Movie ingeweza kutengenezwa kwa kutafuta mtu anayefahamika duniani kwenye hiyo tasnia.
Sukuma gang hao, wamezoea yale mambo ya Mwendakuzimu alivyokuwa akijifanya 'mungu mtu'.Mkuu kwani rais siyo wa kawaida......kujikweza inategemea na hulka ya mtu alivyo, ulibahatika kumwona Mwl. Nyerere namna alivyoishi? alikuwa hadi anacheza bao kijiweni na kupanga foleni ya kununua sukari.
Mazingira ni ya tofauti sana kipindi cha Nyerere na sasa. Halafu mwalimu hakufanya hizo kama official activities. Alikuwa anajichanganya na watu wake.Mkuu kwani rais siyo wa kawaida......kujikweza inategemea na hulka ya mtu alivyo, ulibahatika kumwona Mwl. Nyerere namna alivyoishi? alikuwa hadi anacheza bao kijiweni na kupanga foleni ya kununua sukari.
Mkuu hii haihusiani kabisa na hayo ya sukuma gang. Mimi nimempinga magufuli siku zote na udikteta wake.Sukuma gang hao wamezoea yale mambo ya Mwendakuzimu alivyokuwa akijifanya 'mungu mtu'.
Ondoa tongotongo machoniHiki kitu bado kinanipa ukakasi sana. Nimeona post muda huu linkedin ya yule Peter kamshika mkono Rais nikakereka sana. Japo ni post ya mwezi uliopita ila imeniumiza.
Pengine ni ushamba wangu lakini dah, kila nikiangalia naona kama Rais wetu ameonekana wa kawaida sana. Ni kama vile urais ni kazi cheap kabisa. Nafasi ya urais imedhalilika sana.
Movie ingeweza kutengenezwa kwa kutafuta mtu anayefahamika duniani kwenye hiyo tasnia.
What's your take kuhusu Nyerere kujichanganya na kucheza bao na 'majobless'? Au utaitafutia excuse kwa kuwa target yako ni Samia?Mkuu hii haihusiani kabisa na hayo ya sukuma gang. Mimi nimempinga magufuli siku zote na udikteta wake.
Ila bado sijaweza kuelewa rais anaanzaje kuigiza akiwa madarakani.
Unaweza kufikiria siku umuone raisi wa ufaransa au waziri mkuu wa japan au UK anaigiza movie akiwa madarakani?
kabla ya kuhoji hayo kwanza ulitakiwa kujuwa maana ya royal tour kaka ukishaijuwa maana yake baaasi hutakuwa na maswali tena alu omba uelimishwe kuhusu royal tour siyo kila mtu anafanyaHiki kitu bado kinanipa ukakasi sana. Nimeona post muda huu linkedin ya yule Peter kamshika mkono Rais nikakereka sana. Japo ni post ya mwezi uliopita ila imeniumiza.
Pengine ni ushamba wangu lakini dah, kila nikiangalia naona kama Rais wetu ameonekana wa kawaida sana. Ni kama vile urais ni kazi cheap kabisa. Nafasi ya urais imedhalilika sana.
Movie ingeweza kutengenezwa kwa kutafuta mtu anayefahamika duniani kwenye hiyo tasnia.
Hiyo ndio sawa na kuigiza muvi?What's your take kuhusu Nyerere kujichanganya na kucheza bao na 'majobless'? Au utaitafutia excuse kwa kuwa target yako ni Samia?
Hilo ni jina tu, lingeweza kutafutwa lingine.kabla ya kuhoji hayo kwanza ulitakiwa kujuwa maana ya royal tour kaka ukishaijuwa maana yake baaasi hutakuwa na maswali tena alu omba uelimishwe kuhusu royal tour siyo kila mtu anafanya
Aisee, kuna uhusiano gani?Tafuta Hela uondokane na hizo fikra.
Unasema alikuwa anaigiza wakati alikuwa kwenye mazingira halisi akishiriki kwenye matukio ambayo ni halisi kabisa ya kuitangaza nchi kiutalii....Mazingira ni ya tofauti sana kipindi cha Nyerere na sasa. Halafu mwalimu hakufanya hizo kama official activities. Alikuwa anajichanganya na watu wake.
Unaweza kufikiria umuone rais wa marekani au urusi anaigiza movie?
Nimeshasafiri ulaya, north america, middle and far east.Ondoa tongotongo machoni
hata kama lingetafutwa lingine lakini maudhui yake ndiyo yanamfanya rais ashiriki unakumbuka hii kitu hata kagame alishafanya? au huna hiyo historiaHilo ni jina tu, lingeweza kutafutwa lingine.
Sina tatizo na kuutangaza utalii wetu, ni wazo jema. Ukakasi upo kwa raisi kuigiza.Unasema alikuwa anaigiza wakati alikuwa kwenye mazingira halisi akishiriki kwenye matukio ambayo ni halisi kabisa ya kuitangaza nchi kiutalii....
Kagame aliigiza au alishiriki kwenye documentary?hata kama lingetafutwa lingine lakini maudhui yake ndiyo yanamfanya rais ashiriki unakumbuka hii kitu hata kagame alishafanya? au huna hiyo historia