Hivi ilikuwaje Rais wa nchi akaenda kuigiza akiwa bado madarakani?

Hiki kitu bado kinanipa ukakasi sana. Nimeona post muda huu linkedin ya yule Peter kamshika mkono Rais nikakereka sana. Japo ni post ya mwezi uliopita ila imeniumiza.

Pengine ni ushamba wangu lakini dah, kila nikiangalia naona kama Rais wetu ameonekana wa kawaida sana. Ni kama vile urais ni kazi cheap kabisa. Nafasi ya urais imedhalilika sana.

Movie ingeweza kutengenezwa kwa kutafuta mtu anayefahamika duniani kwenye hiyo tasnia.
Mkuu mbona unakua mjinga kiasi hicho?
 
Ni heri tu umesema mwenyewe ushamba unakusumbua. Nyie ndiyo mnapiga risasi wake zenu for no reason
 
Mkuu kwani rais siyo wa kawaida......kujikweza inategemea na hulka ya mtu alivyo, ulibahatika kumwona Mwl. Nyerere namna alivyoishi? alikuwa hadi anacheza bao kijiweni na kupanga foleni ya kununua sukari.
Foleni ya kupiga kura. Siyo kununua sukari
 
Hiki kitu bado kinanipa ukakasi sana. Nimeona post muda huu linkedin ya yule Peter kamshika mkono Rais nikakereka sana. Japo ni post ya mwezi uliopita ila imeniumiza.

Pengine ni ushamba wangu lakini dah, kila nikiangalia naona kama Rais wetu ameonekana wa kawaida sana. Ni kama vile urais ni kazi cheap kabisa. Nafasi ya urais imedhalilika sana.

Movie ingeweza kutengenezwa kwa kutafuta mtu anayefahamika duniani kwenye hiyo tasnia.
Ni ushamba kweli kwa sababu umezoweya kuta waliwa na wa shamba, huyu rais wa utendawazi hakuact kibiashara binafsi ameact kutangaza fursa za uwekezaji wewe ulizoweya kumuona magufuli akiact mabararani na kugawa mapesa ovyo akigeuza wananchi omba omba
 
Samia kuigiza na Peter kinawauma sana hasa mnapoona huyo jamaa kamshika mkono Samia?

Acheni upuuzi , mumewe Samia yupo kimya wala hajalalamika ama kuona wivu kwa mkewe kuigiza na huyo jamaa, na kama ingekuwepo shida baba wa watu angeshatangaza kuwa hana imani na mkewe.

Acheni ushamba wa bara.
 
Ashikwe mwengine uhangaike wewe! Au ulitaka aigize lifilamu la kutisha yale ya kukimbiza watu ..😀
 
Back
Top Bottom