Babe la mji
JF-Expert Member
- Dec 14, 2019
- 983
- 2,058
Mkuu mbona unakua mjinga kiasi hicho?Hiki kitu bado kinanipa ukakasi sana. Nimeona post muda huu linkedin ya yule Peter kamshika mkono Rais nikakereka sana. Japo ni post ya mwezi uliopita ila imeniumiza.
Pengine ni ushamba wangu lakini dah, kila nikiangalia naona kama Rais wetu ameonekana wa kawaida sana. Ni kama vile urais ni kazi cheap kabisa. Nafasi ya urais imedhalilika sana.
Movie ingeweza kutengenezwa kwa kutafuta mtu anayefahamika duniani kwenye hiyo tasnia.
Ni heri tu umesema mwenyewe ushamba unakusumbua. Nyie ndiyo mnapiga risasi wake zenu for no reasonHiki kitu bado kinanipa ukakasi sana. Nimeona post muda huu linkedin ya yule Peter kamshika mkono Rais nikakereka sana. Japo ni post ya mwezi uliopita ila imeniumiza.
Pengine ni ushamba wangu lakini dah, kila nikiangalia naona kama Rais wetu ameonekana wa kawaida sana. Ni kama vile urais ni kazi cheap kabisa. Nafasi ya urais imedhalilika sana.
Movie ingeweza kutengenezwa kwa kutafuta mtu anayefahamika duniani kwenye hiyo tasnia.
Onyesha huo ujinga tuuone.Mkuu mbona unakua mjinga kiasi hicho?
Kwani Royal Tour ni movie au Documentary ?Kagame aliigiza au alishiriki kwenye documentary?
Foleni ya kupiga kura. Siyo kununua sukariMkuu kwani rais siyo wa kawaida......kujikweza inategemea na hulka ya mtu alivyo, ulibahatika kumwona Mwl. Nyerere namna alivyoishi? alikuwa hadi anacheza bao kijiweni na kupanga foleni ya kununua sukari.
Aisee, nadhani utakuwa umepotea njia.Ni heri tu umesema mwenyewe ushamba unakusumbua. Nyie ndiyo mnapiga risasi wake zenu for no reason
Umewahi kuiangalia? Ile ni filamu.Kwani Royal Tour ni movie au Documentary ?
Yote sawa tu, hiyo moja ni serious movie na nyingine ni comedy.Hiyo ndio sawa na kuigiza muvi?
Documentary sio filamu.Wakati Rais Paul Kagame anafanya Royal tour alikuwa shamba boy wako?
Lakini bado haijakusaidia chochote mentallyNimeshasafiri ulaya, north america, middle and far east.
Bado Australia na south America.
Championship hiyo aliyofanya SSH ni Documentary SIYO movie. Hajaigiza.Sina tatizo na kuutangaza utalii wetu, ni wazo jema. Ukakasi upo kwa raisi kuigiza.
Ingekuwa documentary ni sawa na ushiriki wake ungekuwa official lakini sio vile kwenye uigizaji.
Raisi kuigiza ndio imekusaidia?Lakini bado haijakusaidia chochote mentally
Ni ushamba kweli kwa sababu umezoweya kuta waliwa na wa shamba, huyu rais wa utendawazi hakuact kibiashara binafsi ameact kutangaza fursa za uwekezaji wewe ulizoweya kumuona magufuli akiact mabararani na kugawa mapesa ovyo akigeuza wananchi omba ombaHiki kitu bado kinanipa ukakasi sana. Nimeona post muda huu linkedin ya yule Peter kamshika mkono Rais nikakereka sana. Japo ni post ya mwezi uliopita ila imeniumiza.
Pengine ni ushamba wangu lakini dah, kila nikiangalia naona kama Rais wetu ameonekana wa kawaida sana. Ni kama vile urais ni kazi cheap kabisa. Nafasi ya urais imedhalilika sana.
Movie ingeweza kutengenezwa kwa kutafuta mtu anayefahamika duniani kwenye hiyo tasnia.
Kwani hajasema neno ushamba kwenye post yako?Aisee, nadhani utakuwa umepotea njia.
Nimeiangalia. Siyo filamu ni DocumentaryUmewahi kuiangalia? Ile ni filamu.
Kwanini unasema hajaigiza?Championship hiyo aliyofanya SSH ni Documentary SIYO movie. Hajaigiza.
Foleni ya kununua sukari kapanga sana, sema hujui tu...Foleni ya kupiga kura. Siyo kununua sukari
HAJAIGIZA ameshiriki kutengeneza Documentary kuhusu nchi yetu hasa masuala ya utaliiRaisi kuigiza ndio imekusaidia?