Hivi ilikuwaje Rais wa nchi akaenda kuigiza akiwa bado madarakani?

Atangaze abinywe naniliu..πŸ˜‚
 
Kwamba wazanzibari ndio wameridhia yale maigizo?
 
Ni ushamba kweli kwa sababu umezoweya kuta waliwa na wa shamba, huyu rais wa utendawazi hakuact kibiashara binafsi ameact kutangaza fursa za uwekezaji wewe ulizoweya kumuona magufuli akiact mabararani na kugawa mapesa ovyo akigeuza wananchi omba omba
Raisi wa nchi gani umeona anaigiza movie?
 
Foleni ya kununua sukari kapanga sana, sema hujui tu...
Alikuwa hana wasaidizi Ikulu mpaka Rais atoke akapange foleni kununua sukari!!!??? Naelewa sana alikuwa ni mtu wa kujichanganya na watu sana. Na alipanga foleni na wananchi wengine kwenye baadhi ya shughuli kama kwenye kupiga kura. Alikuwa hapewi attention maalum kama wanavyofanya sasa ila hilo la sukari ngumu kumeza
 

Ninyi kizazi cha nyoka, lini mtaweza kuziona fursa mnazotayarishiwa?
Kudhalilishwa rais wetu ni fursa!! Tafadhali!! Hiyo pesa inayopatikana kwa kumdhalilisha rais wetu ni pesa chafu!! Heshima ni bora kuliko pesa!! Rais ni nembo ya nchi, watu wamekereka mpaka basi!!
Simlaumu rais binafsi lakini ninalaumu sana Rais kama taasisi!! Hii taasisi ina wasaidizi lukuki, kwa nini hawa wasaidizi hawakuliona hili? Ina maana hawa wasaidizi hawakuwahi kuiona hii filamu hadi ilipozinduliwa?? kama waliiona ina maana walilidhia huo udhalilishaji? Hata rais wetu wa awamu ya tano amepigwa kijembe na hilo li-Peter na wao hadi leo kimyaa!!

Ninachofahamu, kabla ya kurekodi filamu huwa kuna mazoezi/rehersal! Ina maana mazoezi ya jinsi watakavyoshikana mikono yalifanyika?
 
Paul Kagame alisha act royal tour,aliyekua PM wa Israel Benjamin Netanyahu alisha act royal tour,
Au ulikua hujui hayo?

Vijana siku hizi mnajifanya kua ni wataalamu wa kila kitu na kulaumu kila kitu hata kama kitu chenyewe huna uelewa nacho,
Unakosa kazi ya kufanya unakimbilia JF kuanzisha thd ya nanma hii!
 
Documentary sio sawa na matukio ya raisi wetu kwenye movie yake.
 
Alijiimbia Malika 'wape wape vidonge vyao, wakimeza wakitema shauri yao'
 
Alikuwa anapanga aweze kuhisi adha wanayopata wananchi kipindi hicho cha maduka ya RTC nafikiri, sema alikuwa anaji camouflage kwa hiyo watu walikuwa hawagundui....
 
Inashangaza sana watu wanashabikia udhalilishaji aliofanyiwa raisi wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…