Hivi ilikuwaje Rais wa nchi akaenda kuigiza akiwa bado madarakani?

Raisi wa nchi gani umeona anaigiza movie?
Kama imekuudhi jinyonge sasa kwa sababu watu wanajaribu kukuelewesha unazidi kukomaa na ulalamishi wako. Basi usingeleta hii thread humu kama msimamo wako ni huo.
 
Je umemsikia mumewe akiisifia hiyo royal tour? Je mara ngapi huambatana na mkewe safarini? haujiulizi?
 
Alicheza akiwa waziri mkuu?
sikumbuki vizuri.Nafikiri ilikuwa ni mcezo wa redioni miaka hiyo uliitwa Muogo mchungu.Mkuu usiumize kichwa haya yote yatapita.Huu ni mradi na kama ni mradi jua kuna watu wamekula commision zao.Tutakuja kuambiwa baada ya kutoka madarakani, si unajua nchi yetu ilivyo? hawa hawa mawaziri na wabunge wanaosifia ndio watakuja kutupa tasmini, umesahau ya miradi ya jpm walivyo kuwa wakiipa chapuo? leo si ndo hao hao wanasema tulibugi?
 
Rais kadhalilishwa wapi jamani? Nimeangalia ile Documentary sijaona mahali popote ambapo Rais amedhalilishwa.
 
Kama imekuudhi jinyonge sasa kwa sababu watu wanajaribu kukuelewesha unazidi kukomaa na ulalamishi wako. Basi usingeleta hii thread humu kama msimamo wako ni huo.
Nimejisikia vibaya na kuona nchi nzima tumedhalilishwa.
 
Badala ya kupiga tontorilo za upepo wa hewa ya joto, watu wenye akili wananunua sasa hivi camping vehicle, tents, kurekebisha Guest houses zao na kungojea hao watalii ambao wameanza kuja.

Ninyi mnalilia heshima ambayo haipo kwenu, kama mnyasa aliyefunga tai huku mgongoni shati imetatuka!
Kuchagua umasikini ni uamuzi wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…