Hivi ilikuwaje Rais wa nchi akaenda kuigiza akiwa bado madarakani?

Ninyi kizazi cha nyoka, lini mtaweza kuziona fursa mnazotayarishiwa?
Kizazi Cha nyoka ni chama tawala Kwa sasa,ukisimamia HAKI unanyamazishwa.

Ebu tuambie mfanyabiashara Gani Nchi hii anaweza kufadhili royal tour akatoka bil 7 na asipate manufaa yoyote 🤭🤭🤭
 
Kizazi Cha nyoka ni chama tawala Kwa sasa,ukisimamia HAKI unanyamazishwa.

Ebu tuambie mfanyabiashara Gani Nchi hii anaweza kufadhili royal tour akatoka bil 7 na asipate manufaa yoyote 🤭🤭🤭
Jifadhili mwenyewe Royal Tour yako upate mradi wako.
 
Inakuwa hivyo hivyo ulivyoona.
 
What's your take kuhusu Nyerere kujichanganya na kucheza bao na 'majobless'? Au utaitafutia excuse kwa kuwa target yako ni Samia?
Au kulima shambani kwa jembe la mkono!.
Huyu Rais alistahili kabisa kuwa wa Rais wa kwanza Tanzania kwa sababu aliset stndard za ubinadamu ambazo mtu ambaye ni Rais wa Tanzania anatakiwa kuwa nazo.
 
Je umemsikia mumewe akiisifia hiyo royal tour? Je mara ngapi huambatana na mkewe safarini? haujiulizi?
Samia toka akiwa Waziri mume wake alikuwa hafahamiki kwa wengi. Kawa Makamu wa Rais kwa 5+ years hatukuwahi kumuona mume wake. Alivyokuwa Rais ndiyo tumemuona siku SSH anaapishwa. Kwa hiyo msianze kuleta maneno yenu hapa
 
Nimejisikia vibaya na kuona nchi nzima tumedhalilishwa.
Huo ni muono wako, perception. Mimi SSH kushikwa mkono na mwanaume awe mzungu, mwafrika au kutoka popote pale wakati anatengeneza Documentary naona ni jambo la kawaida kabisa. Wewe na wenzio mnaolaani mna mawazo negative. Kwanza mnawaza vibaya mwanamke kushikwa mkono na mwanaume asiye mume wake (labda mambo ya dini yamewaathiri) pili mnachukulia Rais kama siyo binadamu wa kawaida. Mnamuona kama Mungu mtu!!! Akitokea mahali wote lazima msujudie!!! Hapana haiko hivyo.
 
Sina tatizo na kuutangaza utalii wetu, ni wazo jema. Ukakasi upo kwa raisi kuigiza.

Ingekuwa documentary ni sawa na ushiriki wake ungekuwa official lakini sio vile kwenye uigizaji.
We hujui Kiswahili au ni mbishi? Rais hakuigiza alishiriki kutengeneza real documentary kutangaza utalii wa nchi yetu
 
Watanzania wanaongoza kwa kujipa stress zisizo za lazima!
 
.......
In Israel, it looked like Greenberg was taking a boat ride down the River Jordan with just then-prime minister Benjamin Netanyahu and his family until another view shows them surrounded by other boats stuffed with aides, a security detail, and the press.


Then-prime minister Benjamin Netanyahu and CBS producer Peter Greenberg embark on a televised whistle-stop ‘Royal Tour’ of Israel. (Avi Ohayon/Government Press Office)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…