Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Mkate mtama
Ma mtu hebu mpe muongozo kijanaMkate mtama
Apigwe akaoge, aache kulialia..Unatataka kusemaje mkuu
Hiyo combo ni nomaa!
Aisee namuheshimu sana huyu Broo basi tuMkate mtama
Sasa wewe mapenzi ya wengine yanakuhusu nini!?Kuna jamaa hapa mtaani ni likubwa miaka 31 Kuna kademu kake kana miaka 18 Sasa sijui imekuaje kamesema waachane Sasa Kuna mshikaji mwingine ndio anatoka nako haki kademu hapa mtaani Sasa huyu jamaa akaanza kukaa nastress na kulia
Yaani tupo nae hapa kijiweni anawaza mpaka kuoga haogi ananuka kikwapa wazee hivi mtu unawezaje kufanya ujinga kama huu Mimi na miaka yangu 28 siwezi kufanya huu ujinga yaani natamani hata kupanda makofi huyu braza
Aisee ni shidaHiyo ndio Shida ya kujua mapenzi ukiwa mkubwa
Hayanihusu ila anakera kuja kulialia kijiweni sisi tumetulia tunapiga stori za kuingiza pesa lenyewe linakuja kujilizaSasa wewe mapenzi ya wengine yanakuhusu nini!?
Unamuheshimu mtu analialiaš¤Aisee namuheshimu sana huyu Broo basi tu
Yaani dume kabisa unalilia mapenziWewe unajua humo ndani anampea nini ? Ni siri yake, wacha amlilie ..... kuna madem yako yako tu ovyo ila humo ndani yana balaa...kwanza ni masafi, yanajua alafu yanajua tena
Vya sirini huko hujui wanapeanaje..... wacha amlilie tuYaani dume kabisa unalilia mapenzi
Dah amkate mtama,noma sanaMkate mtama