Hivi inakuaje mpaka dume Zima linalilia mwanamke aisee hii kitu hainiingii akilini

Hivi inakuaje mpaka dume Zima linalilia mwanamke aisee hii kitu hainiingii akilini

Mapenzi ni upofu Mkuu, unadhani unaweza kuvumilia muda gani ikitokea umeondolewa uwezo wa kuona? Imezidi sana dakika 1

Tafuteni namna mumsaidie huyo Bwana mdogo kwa kumkutanisha na huyo binti anayecheza na mtima wake
 
Mwambie ajikaze tu siku nyingne asirudie kuwa na pisi moja, 2,3+

Ajaribu kubadilisha mazingira, atembee sehemu za kishua atakutana na pisi kali tena mali safi

apunguze expectations kwa mwanamke
Mda huu alikua analia akasondosha waleti Ina elfu 20 wadau wakataka kupita nayo Mimi ndio nimewaambia sio fresh yaani jamaa Kawa kama chizi
 
Mda huu alikua analia akasondosha waleti Ina elfu 20 wadau wakataka kupita nayo Mimi ndio nimewaambia sio fresh yaani jamaa Kawa kama chizi
Jamaa ana mawe au za kula na kulipa kodi? Na hyo mume mwenzie
 
Au basi tu.
Asubuh kidogo nianzishe Uzi wa kumlilia mlimbwende wa miaka 19🥺
Ila wacha nikaushe msijesema mm ndo huyo braza 🥱

Mdogo ang kulia hakuna umri, siku utakutana na vibabu vinalilia kipochi ndo utajua hujui
 
Nikikumbuka simu imewekwa loodspeaker jamaa ananitambia ngoja tumuulize kat ya mimi na wewe nani anapendwa, manz akaitwa huku analia, et nani unampenda nikatajwa mimi, mara pwaa kala kofi na simu ikazimwa, leo wako wote😂😂 wanawake 🙌🏼.
Jamaa namuonea huruma sana.
 
Jamaa ana mawe au za kula na kulipa kodi? Na hyo mume mwenzie
Pesa anayo ya kubadilisha mboga na yule mwenzie hawajapishana sana sa sijajua demu kimemkumba nini nahisi marafiki wa demu ndio wamemshauri maana jamaa mwenyewe aliempata huyu demu kaunganishiwa na shoga yake huyu demu
 
Nikikumbuka simu imewekwa loodspeaker jamaa ananitambia ngoja tumuulize kat ya mimi na wewe nani anapendwa, manz akaitwa huku analia, et nani unampenda nikatajwa mimi, mara pwaa kala kofi na simu ikazimwa, leo wako wote😂😂 wanawake 🙌🏼.
Jamaa namuonea huruma sana.
Duuh noma sana
 
Majitu kama hilo ni kuyamanda mabanzi tu kisha unalipunguza kwenye list ya wana!

Kuna likurya limoja enzi tuko chuo lilipigwa kibuti na demu wake, eti likapanda ghorofani juu floor ya3 likajiachia mpaka chini. Bahati tu washikaji waliwahi wakawa wamelidaka kabla halibamiza ardhi!
Mi nilivyofika sikulichelewesha nikalirandika mabanzi lilikuwa limekata moto fahamu zikarudi chap!
 
mara ya mwisho binti alitumia vipipi alf kwa jamaa ndo ilikua first time kukutana na mtu anae tumia vipipi ndo maana kadata,,,

natania🤸‍♀️ Muacheni bwana mapenzi yanauma😅😅😅
 
Pesa anayo ya kubadilisha mboga na yule mwenzie hawajapishana sana sa sijajua demu kimemkumba nini nahisi marafiki wa demu ndio wamemshauri maana jamaa mwenyewe aliempata huyu demu kaunganishiwa na shoga yake huyu demu
Jamaa akomae na shoga wa ex wake atindue. Ngoma itakuwa draw
 
Back
Top Bottom