Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Huwa nashangaa sana, wakati mimi mwanamke akinizingua ndio napata relief kanitua mzigo. Hela nilizokuwa nampa yeye nazielekeza kwa mama na wadogo zake
Hakuna wazee wanaouliza maswali mengiTangu lini?😳
Wazee masikini tunauliza😆Hakuna wazee wanaouliza maswali mengi