Hivi inakuaje mpaka dume Zima linalilia mwanamke aisee hii kitu hainiingii akilini

Hivi inakuaje mpaka dume Zima linalilia mwanamke aisee hii kitu hainiingii akilini

Kila la kheri kwa upigaji wako hodari na wa kitambo ila wajuzi wanasema ukizoea nyeto ukilala na demu ni kama unakula makapi kuna ukweli wowote?

Nan alikwambia wanawake wanapenda kulambwa maliwatoni huko? au ni gia ya kutaka kufokoa mitarošŸ˜
Mm napiga nyeto na demu namfaidi vile vile, sijawah kumuona mwanamke makapi.

Bc huyo demu wangu ndo alikuwa anapenda nimnyonye mkungu, na sijawah kula wala sitokaa nile mtaro.
 
Mm napiga nyeto na demu namfaidi vile vile, sijawah kumuona mwanamke makapi.

Bc huyo demu wangu ndo alikuwa anapenda nimnyonye mkungu, na sijawah kula wala sitokaa nile mtaro.
Ooh safiii piga vitušŸ¤
 
Haelewi tu mkuu.

Siamin ktk nyota ila naamin kuna baadh ya wanawake tumeumbwa na vitu(sio urembo) fulani vya tofaut vinavyofanya baadhi ya wanaume wakitujua wahisi without us life is meaningless.

Binafsi nimekua naliliwa na wanaume wazee/vijana kapuku wenye nazo toka niko binti na sasa ni bibi.Yuko mmoja alikunywa sumu(hakufa) kisa nilimkataa na sina uzuri wowote na sikuwahi sex nae hata useme nina maajabu na hata ningelala nae sina maajqbu yeyote kitandani.



SIjui hata ni nini ila kuna kitu TU huwa najiuliza hivi hawa wanaume wananibembeleza hv mbona sina uzuri wowote.?Ukijaribu kuwaambia tuwe marafiki tu wa kawaida hawaelewi ni kero na tokea mtu anywe sumu najaribu kweli kuwakataa kidiplomasia ila napo wanakuona sitak nataka wanaendelea kubembeleza au mtu atapotea kidogo then anaanza tena.

Kuna vitu mtoa mada usimhukumu mtu kama hujavipitia.

Umeongea ukweli mchungu mno..... watu hawaelewagi tu.... . Upendo wa kweli hutokea tu ! Bye the way ww sio bibi lakn damu inachemka haijapoa 😊
 
Au basi tu.
Asubuh kidogo nianzishe Uzi wa kumlilia mlimbwende wa miaka 19🄺
Ila wacha nikaushe msijesema mm ndo huyo braza 🄱

Mdogo ang kulia hakuna umri, siku utakutana na vibabu vinalilia kipochi ndo utajua hujui
Njoo utamke neno hapa 😁 Seran
 
Kuna jamaa hapa mtaani ni likubwa miaka 31 Kuna kademu kake kana miaka 18 Sasa sijui imekuaje kamesema waachane Sasa Kuna mshikaji mwingine ndio anatoka nako haka kademu hapa mtaani Sasa huyu jamaa akaanza kukaa nastress na kulia

Yaani tupo nae hapa kijiweni anawaza mpaka kuoga haogi ananuka kikwapa wazee hivi mtu unawezaje kufanya ujinga kama huu Mimi na miaka yangu 28 siwezi kufanya huu ujinga yaani natamani hata kupanda makofi huyu braza
Acha kuingilia mapenzi ya watu
 
Huyo jamaq yako ndo wewe mkuu.pole sana mkuu achana na demu wa watu amepataa jamaa mwenye hela,mimi nakushauri tafuta ela mkuu acha na uyo demu..
 
Wapo wanaopenda kupendwa,wapo wanaopenda kuhongwa, wapo wanaopenda mapenzi ndiyo hata matajiri humwagwa
 
Kipo anachokililia muache mwenzio atoe machungu yake..!!
 
Back
Top Bottom