Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Unatishaje wakati tayari umeshakufa mda huo? Shughuli za kibinadamu zinazidi kukua watu wanazidi kuongezeka sehemu Leo unayoiona ni pori baada ya miaka kadhaa itakuwa either ni apartment, hospital nk, hivyo space itakuja kuwa limited na cremation itakuwa mbadala wa normal burialKwani Afrika tuna uhaba wa maeneo ya kuzikia. Lakini pia process ya decomposition ina manufaa kwenye udongo food chain.
Mimi hapana aise, kuzika ni utaratibu mzuri sio huo wa kuchoma unatisha.
Imani gani ipo sawa na mungu ?Ni imani ambayo ipo kinyume na imani ya Mungu
Unatishaje wakati tayari umeshakufa mda huo? Shughuli za kibinadamu zinazidi kukua watu wanazidi kuongezeka sehemu Leo unayoiona ni pori baada ya miaka kadhaa itakuwa either ni apartment, hospital nk, hivyo space itakuja kuwa limited na cremation itakuwa mbadala wa normal burial
Kuchomwa maiti kunaondoaje utu wake ?Inatisha waliobaki
Bado hatuna uhaba wa maeneo ya kuzika na sio mbaya hata kma tutafukua na kuzika mtu mwingine ila sio kuchomwa.
Mkuu hata mtu akifa bado utu wake una heshiwa na lazima sio kwa kuwa amekufa iwe basi.
Wwnzetu sometimes ardhi huwa inaganda inakuwa haichimbiki. Wakaamua kuchomana. Ila kuwe na kuni za kutosha, si kuchomana nusu nusu kama wahindi.
Maiteki. Kuchomana kuzuri kuliko kuzikana kwenye majeneza. Kunaokoa ardhi, pia maiti zilizozikwa zinatabia ya kuchafua maji ya chini ya ardhi.
Ni mtazamo wangu lakini, binafsi naona inafaa zaidiInatisha waliobaki
Bado hatuna uhaba wa maeneo ya kuzika na sio mbaya hata kma tutafukua na kuzika mtu mwingine ila sio kuchomwa.
Mkuu hata mtu akifa bado utu wake una heshiwa na lazima sio kwa kuwa amekufa iwe basi.
Nzuri sana hiyo, mambo ya kuliwa na wachawi mara kufufuka yanakuwa hayapo tenaBinafsi napendelea cremation, hata nikifa kesho au keshokutwa ningependelea cremation, majivu hata wakitupa mtoni siyo mbaya, mtu ukishakufa unareturn kwenye non existence, neuronal activity za kwenye brain ziki shut down , moyo ukastop na Kila organ ikafa hausikii chochote hata wakinichoma haitanisumbua, kuzika kwa makaburi kunakula nafasi sana, miaka inavyoenda tutakosa sehemu za kuzikia.
Sikatai juu ya kuheshimu uhuru wa mtu lakini kwa nini mtu uchague kitu ambacho ni tofauti na jamii yako na kina ugumu kutekelezeka.
Chap chap unakuwa majivu biashara imeishaNzuri sana hiyo, mambo ya kuliwa na wachawi mara kufufuka yanakuwa hayapo tena
Imani gani ipo sawa na mungu ?
Kuchomwa maiti kunaondoaje utu wake ?
Ni mtazamo wangu lakini, binafsi naona inafaa zaidi
Hakuna ugumu wa kutekeleza cremation mkuu. Its very fast and relatively cheap, masaa matatu tuu, utakuwa majivu hayafiki hata kilo tano. 😊
Nzuri sana hiyo, mambo ya kuliwa na wachawi mara kufufuka yanakuwa hayapo tena
Chap chap unakuwa majivu biashara imeisha
Utamaduni tuu wamasai mtu akifa wana acha hapo wanasepa aliwe na fisi
Kwa nini asili yenu iwe ndiyo ya kufuatwa na kila mtu, kila siku?Hili la mtu kuchomwa baada ya kufa sio common sana kwa Afrika lakini kuna baadhi ya Waafrika eti akifa anachagua kuchomwa badala ya kuzikwa mwili mzima.
Mimi hii naiona kama cult kwa sababu hainiingia akilini kuona mtu anachagua kuchomwa, badala ya kuzikwa ambayo mwili mzima kama ilivyo asili yetu.
Ina sound kama satanic hivi ? na sijui utaratibu ukoje kwa viongozi wa dini Wakristu na Waislam huwa wanalichukulia vipi pale mmoja wa muumin wao anapochagua utaratibu huu wa kuchomwa au wengi wao wanakuwa ni Atheists. Hii hata tamaduni zetu za kimakabila zinakata kabisa.
Utajisikiaje au utachukuliaje mtoto wako au ndugu yako anapochagua kuwa cremated..?