figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Hongera Mkuu kwa kutangaza fursa za kutembelea Namanyere. Karibu Ngorongoro.Yaani unakuta mtanzania anakaribia miaka 35 na anasema ana akili timamu lakini eti hajawahi kufika Namanyere.
Hivi inakuaje mtu unakaa sehemu Moja, unazaliwa hapo unakufa na kuzikwa hapo?.
Matembezi yako ni Sokoni na kwenye ibada tu.
Inawezekanaje? Hivi mtu wa hivyo kichwani anakuwa na akili kwelli? Au ni hamnazo?
Sioni ubaya kutangaza fursa ya kutembelea huko, nasi tutangaze za kwetu.Kwahiyo kipaumbele ulicho nacho wewe unataka kila mtu awe nacho?
Hauoni kama wewe hapa ndiye hauna akili timamu kwa kuandika uzi usiokuwa na mantiki?
Lakini hakukuwa na sababu ya msingi kusema kwamba ambao hawajafika huko hawana utimamu wa akili.Sioni ubaya kutangaza fursa ya kutembelea huko, nasi tutangaze za kwetu.
Punguza Ushauri Kwenye Maisha Ya Watu,Vipumbele vyako Sio Vipaumbele vya mwingine.Yaani unakuta mtanzania anakaribia miaka 35 na anasema ana akili timamu lakini eti hajawahi kufika Namanyere.
Hivi inakuaje mtu unakaa sehemu Moja, unazaliwa hapo unakufa na kuzikwa hapo?.
Matembezi yako ni Sokoni na kwenye ibada tu.
Inawezekanaje? Hivi mtu wa hivyo kichwani anakuwa na akili kwelli? Au ni hamnazo?
Kuna nini cha kipekee huko Namanyere hadi unapapigia debe?? Je, Namanyere inaweza kuipiku Rau madukani au Uchira??Yaani unakuta mtanzania anakaribia miaka 35 na anasema ana akili timamu lakini eti hajawahi kufika Namanyere.
Hivi inakuaje mtu unakaa sehemu Moja, unazaliwa hapo unakufa na kuzikwa hapo?.
Matembezi yako ni Sokoni na kwenye ibada tu.
Inawezekanaje? Hivi mtu wa hivyo kichwani anakuwa na akili kwelli? Au ni hamnazo?
Acha kukaa huko kwenu njoo Namanyere ule mema ya nchiTanzania ni kubwa kila mtu atafika pale atakapojaaliwa kupafika
Hata katerero inashangaza sana mtu hajafika hukoYaani unakuta mtanzania anakaribia miaka 35 na anasema ana akili timamu lakini eti hajawahi kufika Namanyere.
Hivi inakuaje mtu unakaa sehemu Moja, unazaliwa hapo unakufa na kuzikwa hapo?.
Matembezi yako ni Sokoni na kwenye ibada tu.
Inawezekanaje? Hivi mtu wa hivyo kichwani anakuwa na akili kwelli? Au ni hamnazo?
Platinum membership maana yake ni kuwepo muda mrefu au miaka mingi jukwaani haina maana nyingine zaidi ya hio unaweza ukawa expert member ila hadhi yako ni ya Platinum membership na pia unaweza ukawa na Platinum membership ila sometimes hadhi yako inakua ni sawa kabisa na New Member, unanielewa vizuri?naungana na yule Jamaa alie kua ana hoji kuhusu platinum member.
uzi kama huu unatosha kutoa majibu
Wewe umefika wapi ambapo unajivunia?Tanzania ni kubwa kila mtu atafika pale atakapojaaliwa kupafika