ndio wapi huko gentleman?Yaani unakuta mtanzania anakaribia miaka 35 na anasema ana akili timamu lakini eti hajawahi kufika Namanyere.
Hivi inakuaje mtu unakaa sehemu Moja, unazaliwa hapo unakufa na kuzikwa hapo?.
Matembezi yako ni Sokoni na kwenye ibada tu.
Inawezekanaje? Hivi mtu wa hivyo kichwani anakuwa na akili kwelli? Au ni hamnazo?
Kuna pisi za maana?Mwakani narudi uko
Top of Africa Uhuru peak more than 200 timesWewe umefika wapi ambapo unajivunia?
Zimehamia daslamKuna pisi za maana?
We vipi inategemea mtu yuko mkoa gani na ana shughuli zipi,wewe pengine umeijua namanyere leo au hivi karibuni.Mimi nimefika namanyere miaka hiyo ya zamani ambapo mkuu wa wilaya alikuwa mzee kipanga na mkurugenzi wa halmashauri alikuwa anaitwa deo kithama.Niliandika uzi wa maisha yangu hapo namanyere,kijiji cha china na hatimaye kirando mtakuja,ama nilienjoy sana.Yaani unakuta mtanzania anakaribia miaka 35 na anasema ana akili timamu lakini eti hajawahi kufika Namanyere.
Hivi inakuaje mtu unakaa sehemu Moja, unazaliwa hapo unakufa na kuzikwa hapo?.
Matembezi yako ni Sokoni na kwenye ibada tu.
Inawezekanaje? Hivi mtu wa hivyo kichwani anakuwa na akili kwelli? Au ni hamnazo?
Hongera sana Mkuu, share link ya Uzi watu wajikumbushe.karibuni.Mimi nimefika namanyere miaka hiyo ya zamani ambapo mkuu wa wilaya alikuwa mzee kipanga na mkurugenzi wa halmashauri alikuwa anaitwa deo kithama
MajimotoYaani unakuta mtanzania anakaribia miaka 35 na anasema ana akili timamu lakini eti hajawahi kufika Namanyere.
Hivi inakuaje mtu unakaa sehemu Moja, unazaliwa hapo unakufa na kuzikwa hapo?.
Matembezi yako ni Sokoni na kwenye ibada tu.
Inawezekanaje? Hivi mtu wa hivyo kichwani anakuwa na akili kwelli? Au ni hamnazo?
Karibu sanaMwakani narudi uko.
Pisi Namanyele? Una utani kaka. Rukwa iyo ujueKuna pisi za maana?
Mkoa Rukwa, NkasiKwani mkuu namanyere ni wapi kwanza😎
Haya ndo nilikuwa nalalamika. Yaani kutoka hapo Njia panda ya Humo hadi Uhuru unajiita mtembezi?🤣🤣🤣Top of Africa Uhuru peak more than 200 times
Yaani unakuta mtanzania anakaribia miaka 35 na anasema ana akili timamu lakini eti hajawahi kufika Namanyere.
Hivi inakuaje mtu unakaa sehemu Moja, unazaliwa hapo unakufa na kuzikwa hapo?.
Matembezi yako ni Sokoni na kwenye ibada tu.
Inawezekanaje? Hivi mtu wa hivyo kichwani anakuwa na akili kwelli? Au ni hamnazo?
Njoo nawe upande kama unajiwezaHaya ndo nilikuwa nalalamika. Yaani kutoka hapo Njia panda ya Humo hadi Uhuru unajiita mtembezi?🤣🤣🤣