Hivi inakuaje mtu wa miaka 30+ Hajawahi kufika Namanyere?πŸ€”

Kukodi Shamba Laki tano? Harafu ukivuna gunia utauza Laki mbili?
 
hivi iko bara gani ili nianze kudunduliza vijisenti zangu nijiandae kwa pasport na visa
 
Mtu ana miaka 40 hapajui Namabengo
 
Namayenge ndo wapi?? Mkuu
 
Njoo nawe upande kama unajiweza
Mambo ya kupanda mlima siwezi kujisifia.. Kuna siku nilijifanya ngangari, Nikaamkia Morogoro kupanda Mlima Uluguru.. Nilijuta sana.. Nikawe nasema kimoyomoyo, hivi najitesa hivi ili iweje? Napanda huu Mlima ili nipate nini? Nilitumia kama Maasaa saba kufika kileleni nikalala huko huko.. Nilikuta sehemu kuna kijumba cha Mlinzi wa Mitambo ya Radio.. Nahisi ni TBC sababu nilikuta Minara hujambo mingi.. Asubuhi nikashuka mjini Morogoro kunywa bia.. Nilitumia tena kama masaa matatu kushuka.. Tangia haapo nikakoma kupanda Milima.. Sasa hivi activities nataka ni kukimbiza kuku, kukimbia kwenye gunia au kukimbia na yai kwenye kijiko kikiwa mdomoni.. Sitaki tabu
 
Sasa kula yangu nategemea kutembea
 
Mimi
Mimi nashangaa mtu wa miaka 30+ hajawahi kupiga kura
 
Sante kalesaa
 
Mwaka 2020 nipo ofisini kwa Hashim Rungwe Makumbusho, namwambia ninataka kugombea ubunge wa jimbo la Kibamba, akaniuliza hivi Kibamba ni wapi? Mzee anaishi ushuani masaki, hajui ndichi za Dar, mpaka nikamueleza kuwa ni lile jimbo mbunge wake ni Mnyika... Sasa huyo ni mwanasiasa wa Dar na hajui location za majimbo ya Dar.

Kuna wahindi vijana nilikutana nao posta, hawajui Mbezi Luis (Mbezi mwisho) ni wapi, wanadai wameishia ubungo tu na wamezaliwa Dar hapahapa.
 
Yule mzee anaishi masaki au Mikocheni B, Jirani wa Ridhiwani.
 
Namanyere ni ile wilaya ka unatoka katavi unafika Sumbawanga then unaenda barabara ya mbeya/Tunduma? Au ni wilaya kama unatoka Katavi before sumbawanga?

Nachanganya madesa.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mtu ana miaka 40 hapajui Namabengo
God forbid, acha tu wasipajue.

Nilikaa siku 3 ilikuwa mwezi wa 5/6 sikumbuki vizuri 2021.

Niliondoka uso umebabuka kwa baridi, nilikaa lodge hamna maji ya moto na baridi lote lile, dada mhudumu akawa ananichemshia kwenye kuni asubuhi na jioni πŸ˜€πŸ˜­ Na hiyo lodge ndio ilikuwa the best kuliko zote πŸ€¦πŸ»β€β™€οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…