Hivi inakuaje mtu wa miaka 30+ Hajawahi kufika Namanyere?🤔

Pole sana mkuu
 
Unatulazimisha sisi tuje kwenu huko kijiji chenyewe kipo makalioni mwa nchi
 
kusema kwamba ambao hawajafika huko hawana utimamu wa akili.
Kwenye watu wanne kuna mmoja hana akili. Wakisema hivyo hupingi. Mtu akisema viashiria unapinga. Huyo mmoja ni wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…