Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Mkuu nasikia kwasasa Ziwa Rukwa limeanza kuongezeka maji mpaka kufikia makazi ya watu?Daaah nipo huku Kilimo Cha muda mfupi sana,ni miezi mitano tu na baadae ya hapo ni kukaa kusubiri mvua tena.
Yaani maeneo kama matala,Chala,mtenga,mashete,paramawe,kizi,lyazumbi, katete,kibaoni,milundikwa,usevya,majimoto na maeneo mengine mengine mashamba ya kulima mpunga yanakodishwa sh. 500,000 na shamba la mahindi ni 150,000 mpaka 200,000 kwa ekari moja. Sasa mtu aje kufanya nini huku na kwanini asiende morogoro? Maeneo ya mlimba?
YesUkiwa unaishi aya majiji tunajisahau sana life la SIDE B
Hahahaa.. MiaHivi inakuaje una miaka 30+ na hujafika Usengelindete figganigga
Au Kanoge na UrulwaHivi inakuaje una miaka 30+ na hujafika Usengelindete figganigga
Utakuwa ulienda kuogelea.. Halafu hawa mademu pelekeni Lodge sio vichaka vya Kipili🤣🤣🤣Umesahau Kirando na Kipili
Kwanza demu mwenyewe kumpata kazi. Demu unamsalimia mambo, anakujibu kwa Yesu ujanja kuokoka🤣🤣🤣Duh huo mtihani. Mia.
Umeitoa wapi?Namayenge ndo wapi?? Mkuu