Hivi inakuaje mwanaume mzima unapata GPA below 4.5 chuoni?

Hivi inakuaje mwanaume mzima unapata GPA below 4.5 chuoni?

Cheti changu sijawahi kukitumia toka nimenaliza chuo zaidi ya miaka 10 iliyopita, hata GPA sikumbuki ilikua ya ngapi; but iko chini ya 3.5.

Nimefanya kazi taasisi kubwa za Kimataifa na makampuni makubwa.
Umefanyaje bila cheti mkuu
 
Hao wenye GPA ya 4.7 tuko nao huku tunasaga chaki kama kawaida kama dawa,na Tena tunawazidi mishahara,Mimi Nina gpa ya 2.9

Ulimbukeni ni tatizo sana Tanzania,hayo ma gpa na ma division huku field hayasaifii kabisa
GPA kubwa ina faida kubwa mkuu ,labda alie ipata ashindwe kuitumia tu kupata ufadhili wa kushindwa kujiendeleza kielimu vyuo vya maana
 
Hivi sometimes najiuliza hawa watu wanaopata GPA below 4.5 ni binadamu wa kweli hawa?how binadamu aliyekamilika anapata GPA below 4.5 kwamba huko chuo mlienda kufanya nini?

Au mlienda kuuza sura ama nini? Utakuta mwanaume mzima anajiita mwanaume kamili anatembea kabisa barabarani na kutongoza kabisa mwanamke je nyie watu hamuoni aibu yaani upo comfortable kabisa kucheka,kutabasamu na una enjoy kula kabisa huki umepata GPA below 4.5 aibu hii waungwana na ningeshauri serikali kabla ya kuwaajiri hawa watu wapelekwe jeshi au magereza wakafanye kazi ngumu ili akili ziwakae sawa

Ndiyo maana ufanisi na utendaji ni mdogo kwasababu ya hawa watu waliopata GPA below 4.5 ni weupe kichwani! Hii ni aibu aisee
Nilikasirika Sana waziri kuwaambia wahitimu wa chuo kikuu waende Veta

Kumbe waaziri alishaona aina ya vilaza wa chuo kikuu Kama huyu mtoa MADA
Ana uwezo hata wa kumwambia mzazi wake ulifelije la Saba

Tuna wasomi hawana chochote kichwani zaidi ya hicho cheti Cha kukariri
Ng'ombe anamzidi kidogo nyumbu anajua ku argue na ku reason
 
Wanaosoma kozi/fani za kike ndio huwa wanatambia GPA kama wewe. Sijawahi kuona madaktari au Wahandisi wakijivunia GPA kubwa.
Hivi kumbe Udaktari na uhandisi ni kozi/fani za kiume? Mbna wanawake pia wanasoma? Inakuaje hapo?
 
Mimi sina hata hio GPA……

1757275284435.jpeg
 
Nilikasirika Sana waziri kuwaambia wahitimu wa chuo kikuu waende Veta

Kumbe waaziri alishaona aina ya vilaza wa chuo kikuu Kama huyu mtoa MADA
Ana uwezo hata wa kumwambia mzazi wake ulifelije la Saba

Tuna wasomi hawana chochote kichwani zaidi ya hicho cheti Cha kukariri
Ng'ombe anamzidi kidogo nyumbu anajua ku argue na ku reason
Hawa ndio wasomi wetu, inasikitisha sana.
 
Tutakujibu tukikutana kwenye kubeba zege sahivi huwezi kuelewa
 
Back
Top Bottom