cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Ndo maana nilimuuliza, km uhandisi na udaktari ni kozi za kiume, mbona wanawake wanasoma pia.😂😂😂 Sasa mm nikijua kozi kuna shida gani lakini. Ila hongera inaonekana ulisoma kozi za Uhandisi na ww ni mwanamke. Kuna mtu hapo juu kasema Uhandisi ni kozi ya kiume, muelimishe kuwa hata nyie mnasoma
Akanambia km hivyo bas na mie nikasome, nikamuuliza pale, nisome mara ngapi?
Maana nina marafiki zangu Ke ni Ma Dr, na wamepita MUHAS,
ninao wengine ni wahandisi, wamepita UDSM, DIT, MUST.
Sijuagi kwanini kuna specialization kwenye baadhi ya mambo na hata hapatakiwi au sio sahihi,
Alitakiwa aseme ni kozi ngumu, at least angekua na hoja ya maana, sio kusema kozi za kiume.
Lol