Hivi inakuaje mwanaume mzima unapata GPA below 4.5 chuoni?

Hivi inakuaje mwanaume mzima unapata GPA below 4.5 chuoni?

 
Kwa elimu yetu Watu wenye uwezo mkubwa wa kukariri na hawana misheni zingine za kufanya lazima upate GPA kubwa
Yeah gpa kubwa inafaida zake kama mtu ataweza kuitumia kufika mbali zaidi kielimu , ninao mfano wa Dr mmoja mtanzania gpa kubwa ilimfanya kapata chuo kizuri US, kafanya kazi huko , na sasa kuna kipindi anaenda mhimbili kufundisha radiology.
 
Kuwa na GPA kubwa ni vizuri maana ni added advantage kwenye baadhi ya kazi.
Ukiwa na GPA ndogo kuna baadhi ya kazi huwezi ruhusiwa kuomba.
Nakumbuka wakati nimemaliza chuo sina mchongo wa kazi .Crdb wakatangaza nafasi za Graduate training programme GPA ilikuwa wanataka above 3.5 ndio ilinifanya nikapata ile opportunity.
Baada ya hapo ajira yangu ya sasa kwa mfaransa sikuombwa hata cheti.
 
We ume
Umeniuliza GPA yangu imenisaidia nini? Sasa unataka nikujibuje? Kila mtu ana personal interest zake na hao ulionitajia Wana interest zao migiro na huyo mpango kwangu ndiyo Nani? Wananihusu nini mimi?

Unadhani Kila mtu anawaza scholarship ya kwenda ng'ambo,!? Hao walioenda ng'ambo tuko nao hapa Tanzania wanakimbilia pesa ya madafu,ng'ambo kingekuwa kuzuri akina Asharoze migiro na Dr mpango wasingerudi Tanzania
 
Utoto raha sana joined 2025.

GPA za chuoni hazikuandai kuwa mwanaume kamili, mwanaume hupimwa kwa vision, kazi, na uwezo wa kusimama kwa miguu yake na sio GPA tu kama ulivyokalili kijana.

Halafu utuambie hiyo GPA yako umapata chuo gani na kozi gani.
 

Attachments

  • Screenshot_20250908_164222_Chrome.jpg
    Screenshot_20250908_164222_Chrome.jpg
    11.2 KB · Views: 18
Kuwa na GPA kubwa ni vizuri maana ni added advantage kwenye baadhi ya kazi.
Ukiwa na GPA ndogo kuna baadhi ya kazi huwezi ruhusiwa kuomba.
Nakumbuka wakati nimemaliza chuo sina mchongo wa kazi .Crdb wakatangaza nafasi za Graduate training programme GPA ilikuwa wanataka above 3.5 ndio ilinifanya nikapata ile opportunity.
Baada ya hapo ajira yangu ya sasa kwa mfaransa sikuombwa hata cheti.
EACOP walitiki mkuu hongera sana.
 
Hivi sometimes najiuliza hawa watu wanaopata GPA below 4.5 ni binadamu wa kweli hawa?how binadamu aliyekamilika anapata GPA below 4.5 kwamba huko chuo mlienda kufanya nini?

Au mlienda kuuza sura ama nini? Utakuta mwanaume mzima anajiita mwanaume kamili anatembea kabisa barabarani na kutongoza kabisa mwanamke je nyie watu hamuoni aibu yaani upo comfortable kabisa kucheka,kutabasamu na una enjoy kula kabisa huki umepata GPA below 4.5 aibu hii waungwana na ningeshauri serikali kabla ya kuwaajiri hawa watu wapelekwe jeshi au magereza wakafanye kazi ngumu ili akili ziwakae sawa

Ndiyo maana ufanisi na utendaji ni mdogo kwasababu ya hawa watu waliopata GPA below 4.5 ni weupe kichwani! Hii ni aibu aisee
Na cha kushangaza zaidi pamoja na Wewe kuitambia hii GPA yako ya 4.5 bado una Dhiki nyingi za Kimaisha (namaanisha Maisha yamekupiga sana) huku wenye GPA za 2 Gentleman / Pass na za 3 Lower Second Class wakiwa wana Maisha mazuri kiasi kwamba wanawaze hata Kukuajiri uwe unafanya Usafi katika Vyoo vyao.
 
Utoto raha sana joined 2025.

GPA za chuoni hazikuandai kuwa mwanaume kamili, mwanaume hupimwa kwa vision, kazi, na uwezo wa kusimama kwa miguu yake na sio GPA tu kama ulivyokalili kijana.

Halafu utuambie hiyo GPA yako umapata chuo gani na kozi gani.
Hauwezi kunishauri wewe mwenye 4.3 unahisi kupata above 4.5 GPA muhimbili na kazi ndogo? Nitokee hapa
 
Elimu bora yenye mabadiliko chanya ni ile inayomfanya mhitimu kuweza kutatua changamoto zake na jamii inayomzunguka.
 
Elimu na pesa ni mambo mawili tofauti na upatikanaje wake ni tofauti pia.

Pesa anapata yeyote kwa jitihada zake halali na sio halali kwa mtu mwenye akili na asie na akili

Elimu ni kipawa inahitaji jitihada kubwa kuipata kuliko kupata pesa, hivo wenye elimu waheshimiwe.

Kama mada imekugusa mpopoe kwa upande wa elimu sio masuala ya pesa
Swadaktaaaaaaa!! Umemaliza kila kitu.
 
GPA kubwa ina faida sana, ni wewe tu kushindwa kuitumia ndio utaangukia kwenye kubeba zege. Ila watu wanaojua kutafuta fursa GPA zimewasaidia sana

Tatizo hapa mleta mada amehusisha GPA na uanaume, vitu ambavyo havina uhusiano kabisa, inaonekana hakuwa na mpango wa kuelimisha watu kuhusu GPA bali alitaka kudhihaki watu ambao hawakupata GPA kubwa ili wajisikie vibaya, na yeye ndio ajisikie vizuri.
mkunga wa jadi sio vizuri kuandika maneno kama hayo, wewe kama ni msomi jaribu na mada zako kuziandika kisomi
 
Kozi achana nayo, nilikua pale COET, 4yrs.
😂😂😂 Sasa mm nikijua kozi kuna shida gani lakini. Ila hongera inaonekana ulisoma kozi za Uhandisi na ww ni mwanamke. Kuna mtu hapo juu kasema Uhandisi ni kozi ya kiume, muelimishe kuwa hata nyie mnasoma
 
Back
Top Bottom