Hivi inakuaje mwanaume mzima unapata GPA below 4.5 chuoni?

Hivi inakuaje mwanaume mzima unapata GPA below 4.5 chuoni?

Hivi sometimes najiuliza hawa watu wanaopata GPA below 4.5 ni binadamu wa kweli hawa?how binadamu aliyekamilika anapata GPA below 4.5 kwamba huko chuo mlienda kufanya nini?

Au mlienda kuuza sura ama nini? Utakuta mwanaume mzima anajiita mwanaume kamili anatembea kabisa barabarani na kutongoza kabisa mwanamke je nyie watu hamuoni aibu yaani upo comfortable kabisa kucheka,kutabasamu na una enjoy kula kabisa huki umepata GPA below 4.5 aibu hii waungwana na ningeshauri serikali kabla ya kuwaajiri hawa watu wapelekwe jeshi au magereza wakafanye kazi ngumu ili akili ziwakae sawa

Ndiyo maana ufanisi na utendaji ni mdogo kwasababu ya hawa watu waliopata GPA below 4.5 ni weupe kichwani! Hii ni aibu aisee
Ni Vizuri kuwa na GPA kubwa. Lakini mpaka sasa imekusaidia nini? ( Umeitumiaje kujiletea manufaa)
 
Elimu na pesa ni mambo mawili tofauti na upatikanaje wake ni tofauti pia.

Pesa anapata yeyote kwa jitihada zake halali na sio halali kwa mtu mwenye akili na asie na akili

Elimu ni kipawa inahitaji jitihada kubwa kuipata kuliko kupata pesa, hivo wenye elimu waheshimiwe.

Kama mada imekugusa mpopoe kwa upande wa elimu sio masuala ya pesa
 
Sounds childish
Mimi mwenyewe nina 4.5 but it is not an issue ,maisha hayako hivyo.You are so unrealistic

Ngoja maisha yakutandike uone miaka yote hiyo ilikua wastage of time
 
Humu makazini GPA hata hazifanyagi kazi man. Zamani nilikuwa silijui hili mkuu.
Zamani nilikuwa kama wewe!
 
GPA kubwa ina faida kubwa mkuu ,labda alie ipata ashindwe kuitumia tu kupata ufadhili wa kushindwa kujiendeleza kielimu vyuo vya maana
Faida zake kubwa ziko wapi mkuu,ikiwa hao wote wenye ma-gpa makubwa tunafundisha nao,hata Mimi mwenye gpa ya 2.9 nikitaka kwenda masters mbona nasoma tu,maana cutoff points ni 2.7,baada ya hapo tunarudi kusaga chalk.
 
Unaweza pata scholarship ya kusoma nnje ya Tanzania?
 
Sasa mkuu Mimi scholarship na ualimu at 45+ inasaidia nini,by the way kwenye kada ya ualimu Masters Haina ngazi yake ya mshahara,huu ni upotezaji wa pesa
Kwa wenzetu mwalimu ni mtu mwenye mshahara mzuri na pia maisha mazuri mkuu
 
Nyie ndio mnaofanya akina king msukuma wadharau wasomi. Jitahidi uwe na uwezo wakutengeneza hata ml 4.5 tu kwa mwezi utapata uhuru kiakili na uchumi.
 
Nyie ndio mnaofanya akina king msukuma wadharau wasomi. Jitahidi uwe na uwezo wakutengeneza hata ml 4.5 tu kwa mwezi utapata uhuru kiakili na uchumi.
Duh , kila sehemu kuna mafanikio yake, watu huenda shule kwa lengo la kufauli na sio kufeli , walio na gpa kubwa tukubali tu walikua vizuri sana .
 
G.P.A ya 4.5 sio tako kila mtu analo, akipata yeye inatosha
Watu wenye GPA nzuri Wala huwezi kuwakuta wakiaandika huo upuuzi

Lakini mwanaume mwenye maono ya mbali huwezi kufikiria Gpa baada ya chuo
Wanaume wenye maono wanaweza michongo baada ya chuo , ndo maana nasema ni aibu tupu kwa mwanaume Kama huyu
 
Duh , kila sehemu kuna mafanikio yake, watu huenda shule kwa lengo la kufauli na sio kufeli , walio na gpa kubwa tukubali tu walikua vizuri sana .
Kwa elimu yetu Watu wenye uwezo mkubwa wa kukariri na hawana misheni zingine za kufanya lazima upate GPA kubwa
 
Back
Top Bottom