Umefanyaje bila cheti mkuuCheti changu sijawahi kukitumia toka nimenaliza chuo zaidi ya miaka 10 iliyopita, hata GPA sikumbuki ilikua ya ngapi; but iko chini ya 3.5.
Nimefanya kazi taasisi kubwa za Kimataifa na makampuni makubwa.
GPA kubwa ina faida kubwa mkuu ,labda alie ipata ashindwe kuitumia tu kupata ufadhili wa kushindwa kujiendeleza kielimu vyuo vya maanaHao wenye GPA ya 4.7 tuko nao huku tunasaga chaki kama kawaida kama dawa,na Tena tunawazidi mishahara,Mimi Nina gpa ya 2.9
Ulimbukeni ni tatizo sana Tanzania,hayo ma gpa na ma division huku field hayasaifii kabisa
Nilikasirika Sana waziri kuwaambia wahitimu wa chuo kikuu waende VetaHivi sometimes najiuliza hawa watu wanaopata GPA below 4.5 ni binadamu wa kweli hawa?how binadamu aliyekamilika anapata GPA below 4.5 kwamba huko chuo mlienda kufanya nini?
Au mlienda kuuza sura ama nini? Utakuta mwanaume mzima anajiita mwanaume kamili anatembea kabisa barabarani na kutongoza kabisa mwanamke je nyie watu hamuoni aibu yaani upo comfortable kabisa kucheka,kutabasamu na una enjoy kula kabisa huki umepata GPA below 4.5 aibu hii waungwana na ningeshauri serikali kabla ya kuwaajiri hawa watu wapelekwe jeshi au magereza wakafanye kazi ngumu ili akili ziwakae sawa
Ndiyo maana ufanisi na utendaji ni mdogo kwasababu ya hawa watu waliopata GPA below 4.5 ni weupe kichwani! Hii ni aibu aisee
πππππInatokana na chuo, program uliyosoma.. usikute wewe umepita pale Zayoni college
SanaaaaUtoton raha
Hivi kumbe Udaktari na uhandisi ni kozi/fani za kiume? Mbna wanawake pia wanasoma? Inakuaje hapo?Wanaosoma kozi/fani za kike ndio huwa wanatambia GPA kama wewe. Sijawahi kuona madaktari au Wahandisi wakijivunia GPA kubwa.
Hajazungumzia pesa, kazungumzia Elimu.
G.P.A ya 4.5 sio tako kila mtu analo, akipata yeye inatoshaIla waja wamecharukwa, kisa hawajapata hiyo GPA husika, Lol
πππππ
πHajazungumzia pesa, kazungumzia Elimu.
Mnachanganya mada, Lol
Kubali kuwa hukupata GPA ya 4.5.
Pesa mtu yeyote anaweza kutafuta na akapata mda wowote.
Hawa ndio wasomi wetu, inasikitisha sana.Nilikasirika Sana waziri kuwaambia wahitimu wa chuo kikuu waende Veta
Kumbe waaziri alishaona aina ya vilaza wa chuo kikuu Kama huyu mtoa MADA
Ana uwezo hata wa kumwambia mzazi wake ulifelije la Saba
Tuna wasomi hawana chochote kichwani zaidi ya hicho cheti Cha kukariri
Ng'ombe anamzidi kidogo nyumbu anajua ku argue na ku reason
Kwa kweli, πππππG.P.A ya 4.5 sio tako kila mtu analo, akipata yeye inatosha
Sasa mambo si ndio hayo, ni kukubali tyuuh.π
Ni kweli sikupata