Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Ina sikitisha sanaHao ndo wanakuja kumkojoza mkeo, Sasa Nani hapo mjanja
Picha hii ilitumwa na member humu JF
Ni Vizuri kuwa na GPA kubwa. Lakini mpaka sasa imekusaidia nini? ( Umeitumiaje kujiletea manufaa)Hivi sometimes najiuliza hawa watu wanaopata GPA below 4.5 ni binadamu wa kweli hawa?how binadamu aliyekamilika anapata GPA below 4.5 kwamba huko chuo mlienda kufanya nini?
Au mlienda kuuza sura ama nini? Utakuta mwanaume mzima anajiita mwanaume kamili anatembea kabisa barabarani na kutongoza kabisa mwanamke je nyie watu hamuoni aibu yaani upo comfortable kabisa kucheka,kutabasamu na una enjoy kula kabisa huki umepata GPA below 4.5 aibu hii waungwana na ningeshauri serikali kabla ya kuwaajiri hawa watu wapelekwe jeshi au magereza wakafanye kazi ngumu ili akili ziwakae sawa
Ndiyo maana ufanisi na utendaji ni mdogo kwasababu ya hawa watu waliopata GPA below 4.5 ni weupe kichwani! Hii ni aibu aisee
Kupata scholarships ya kwenda kusoma abroadNi Vizuri kuwa na GPA kubwa. Lakini mpaka sasa imekusaidia nini? ( Umeitumiaje kujiletea manufaa)
Yeye atakuwa hajui lakini. Atakuwa bize kushughulika na GPAHao ndo wanakuja kumkojoza mkeo, Sasa Nani hapo mjanja
Faida zake kubwa ziko wapi mkuu,ikiwa hao wote wenye ma-gpa makubwa tunafundisha nao,hata Mimi mwenye gpa ya 2.9 nikitaka kwenda masters mbona nasoma tu,maana cutoff points ni 2.7,baada ya hapo tunarudi kusaga chalk.GPA kubwa ina faida kubwa mkuu ,labda alie ipata ashindwe kuitumia tu kupata ufadhili wa kushindwa kujiendeleza kielimu vyuo vya maana
Unaweza pata scholarship ya kusoma nnje ya Tanzania?Faida zake kubwa ziko wapi mkuu,ikiwa hao wote wenye ma-gpa makubwa tunafundisha nao,hata Mimi mwenye gpa ya 2.9 nikitaka kwenda masters mbona nasoma tu,maana cutoff points ni 2.7,baada ya hapo tunarudi kusaga chalk.
Unadhani Kila mtu anawaza scholarship ya kwenda ng'ambo,!? Hao walioenda ng'ambo tuko nao hapa Tanzania wanakimbilia pesa ya madafu,ng'ambo kingekuwa kuzuri akina Asharoze migiro na Dr mpango wasingerudi TanzaniaKupata scholarships ya kwenda kusoma abroad
Unaweza pata scholarship ya kusoma nnje ya Tanzania?
Kwa wenzetu mwalimu ni mtu mwenye mshahara mzuri na pia maisha mazuri mkuuSasa mkuu Mimi scholarship na ualimu at 45+ inasaidia nini,by the way kwenye kada ya ualimu Masters Haina ngazi yake ya mshahara,huu ni upotezaji wa pesa
Duh , kila sehemu kuna mafanikio yake, watu huenda shule kwa lengo la kufauli na sio kufeli , walio na gpa kubwa tukubali tu walikua vizuri sana .Nyie ndio mnaofanya akina king msukuma wadharau wasomi. Jitahidi uwe na uwezo wakutengeneza hata ml 4.5 tu kwa mwezi utapata uhuru kiakili na uchumi.
Watu wenye GPA nzuri Wala huwezi kuwakuta wakiaandika huo upuuziG.P.A ya 4.5 sio tako kila mtu analo, akipata yeye inatosha
Kwa elimu yetu Watu wenye uwezo mkubwa wa kukariri na hawana misheni zingine za kufanya lazima upate GPA kubwaDuh , kila sehemu kuna mafanikio yake, watu huenda shule kwa lengo la kufauli na sio kufeli , walio na gpa kubwa tukubali tu walikua vizuri sana .