Hivi inakuaje mwanaume mzima unapata GPA below 4.5 chuoni?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sasa mm nikijua kozi kuna shida gani lakini. Ila hongera inaonekana ulisoma kozi za Uhandisi na ww ni mwanamke. Kuna mtu hapo juu kasema Uhandisi ni kozi ya kiume, muelimishe kuwa hata nyie mnasoma
Ndo maana nilimuuliza, km uhandisi na udaktari ni kozi za kiume, mbona wanawake wanasoma pia.
Akanambia km hivyo bas na mie nikasome, nikamuuliza pale, nisome mara ngapi?

Maana nina marafiki zangu Ke ni Ma Dr, na wamepita MUHAS,
ninao wengine ni wahandisi, wamepita UDSM, DIT, MUST.

Sijuagi kwanini kuna specialization kwenye baadhi ya mambo na hata hapatakiwi au sio sahihi,
Alitakiwa aseme ni kozi ngumu, at least angekua na hoja ya maana, sio kusema kozi za kiume.
Lol
 
Hao wenye GPA ya 4.7 tuko nao huku tunasaga chaki kama kawaida kama dawa,na Tena tunawazidi mishahara,Mimi Nina gpa ya 2.9

Ulimbukeni ni tatizo sana Tanzania,hayo ma gpa na ma division huku field hayasaifii kabisa
Huyo unayesaga naye chaki ni kwamba hajui nini afanye ila njia zipo.
 
Hajazungumzia pesa, kazungumzia Elimu.
Mnachanganya mada, Lol
Kubali kuwa hukupata GPA ya 4.5.
Pesa mtu yeyote anaweza kutafuta na akapata mda wowote.
Unakaa chuo miaka mitatu unapata 2.7 si bora usingeenda ukafanya mambo mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…