Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,699
- 7,726
Acha uongo alafu akili yako yenyewe ni matatizo KUSIMAMIA INTERVIEW ndio nini? SWALI LA WRITTEN INTERVIEW ndio upuuzi gani..?Nimechoka, nilienda kusimamia interview watu wa ana degree za finance za kwanza na za pili na CPA wameshindwa kujibu swali la written interview lililohoji Noti ya Elfu kumi ina mnyama gani? Nimechoka. Sasa mtu anasomea mambo ya fedha ya kitu gani wakati hajui hata hela noti ya elfu 10 ina mnyama gani.
Hopeless kabisa wasomi wetu wajiongeze waache kukariri notisi vyuoni kufaulu tu. Hizo bachelor na masters za finance na CPA walipataje? Wana JamiiForums naomba ufafanuzi. Nimechoka leo nimeamini wasomi wetu wengi wako below standard.
Wote wameshindwa kujibu hilo swali na sifa za midigrii yao na CPA zao very sad.
Uandikaji wako tu unaonyesha huna lolote