Hivi inakuwaje msomi wa mambo ya fedha hajui shilingi Elfu 10 ina mnyama gani? Anashindwa kujibu kwenye interview

Hivi inakuwaje msomi wa mambo ya fedha hajui shilingi Elfu 10 ina mnyama gani? Anashindwa kujibu kwenye interview

Nimechoka, nilienda kusimamia interview watu wa ana degree za finance za kwanza na za pili na CPA wameshindwa kujibu swali la written interview lililohoji Noti ya Elfu kumi ina mnyama gani? Nimechoka. Sasa mtu anasomea mambo ya fedha ya kitu gani wakati hajui hata hela noti ya elfu 10 ina mnyama gani.

Hopeless kabisa wasomi wetu wajiongeze waache kukariri notisi vyuoni kufaulu tu. Hizo bachelor na masters za finance na CPA walipataje? Wana JamiiForums naomba ufafanuzi. Nimechoka leo nimeamini wasomi wetu wengi wako below standard.

Wote wameshindwa kujibu hilo swali na sifa za midigrii yao na CPA zao very sad.
Acha uongo alafu akili yako yenyewe ni matatizo KUSIMAMIA INTERVIEW ndio nini? SWALI LA WRITTEN INTERVIEW ndio upuuzi gani..?
Uandikaji wako tu unaonyesha huna lolote
 
Mfumo wa elimu tuliyoipokea toka kwa wakoloni beberu hausadifu kabisa uhitaji wa jamii ya sasa.

Zaidi zaidi umewafanya wasomi kukariri vya kwenye makaratasi ili wapate makaratasi (vyeti) huku watu wakikosa uelewa, uelewa na ukweli wa mahitaji ya mazingira na jamii.

Serikali yetu inalijua hili na inalifanyia kazi ila tujue tuu mchakato wa kubadili mtaala sio rahisi, sio wa siku au mwaka mmoja na una gharama kubwa sana sababu utahusisha mabadiliko ya ki sera yake wadau wote wa elimu ikiwamo wadau wa elimu kwenye mitaala, zana za kufundishi na kujifunzia, mafunzo kwa wawezeshaji na walimu n.k ambayo gharama yake ni kubwa sana

Tukifanikiwa kwenye kuboresha hii elimu tutakua nchi bora sana

Mungu ibariki Tanzania
Sahihi mkuu, hata spika Ndugai kalitamka bungeni jambo hili.
 
Hao Watahiniwa walipaniki tu,wangetuliza akili na kuaanza kumfikiria Myama Twiga kwenye Air Tanzania,mbona Tembo nae angejitokeza kirahisi sana kichwani akiwa anaonekana kwa Msimbazi!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mkuu, tatizo ni usomi wa kukariri. Nahisi hao wanaoushutumu uzi huu ni wahusika.
 
Kwa hali niliyoona nadhani tatizo la ajira linasingiziwa wasomi wetu wakipigwa simple questions tu wako weupe vichwani hata swali dogo tu kama hilo ambalo lina match na fani zao kabisa.
Sioni cha ajabu, kama hata msomi mwenye degree tatu, alishindwa kutamka neno entrepreneur!!!!itakuwa picha ya kwenye noti?!!
 
Hilo swali lilikuwa halina tija hata kidogo kwa hiyo proffession,na sio kigezo cha mtu kutokuweza kuimudu hiyo position ya finance manager.Msitumie kigezo cha graduates kuwa wengi mtaani kuwadhalilisha na viswali visivyo na mashiko.
Watu kama nyie huwa hata hiyo degree hamna na kama ipo basi uliungaunga tu mpaka kuvaa joho ndo maana mnakuwa na maumivu moyoni mnatafutaga njia ya kupunguza maumivu kwa kuwasema wengine vibaya.
Hata maofisini mmejaa tele Nani kakwambia ukiwa graduate ndo ujue kila kitu.
Hata wewe kwenye proffession yako(kama ipo) huwezi kujua kila kitu
 
Kwa hiyo,hilo swali ndilo linalotoa prove kwamba watu wanauelewa mdogo?hilo swali hata wewe unaweza ulizwa na ukalikosa...usiwazarau hao watu.
 
Halafu jamaa anajisifia eti kawa dissapointed sijui kasikia uchungu [emoji16], bongo bhana noma sana
Yote hiyo roho mbaya Mkuu mimi huko nilipokua nabeba box nilisoma mambo ya safety kwenye meli zinazokarabatiwa zikiwa zimetia nanga bandarini hapo Cape town kupata kazi kwenye interview yao waliweka mitungi ya kuzima Moto aina zote wakaniambia nikachukue mtungi wa carbon dioxide nikaenda kuchukua na kuwapa naambiwa kaa nje usubiri mkataba nikashangaa sana na hao ni globe marine kampuni kubwa SA...nilifanya kazi pia debeers sijui Hazard Marine kote huko unapewa interview za kupata sio ufeli kama bongo watu wanafurahi kukomoa watu ili wapate wao wengine wapate tabu...
 
Sioni mantiki ya hili swali, anayesoma masuala ya fedha hasomei nembo za sarafu na noti. Ni sawa na aliyesomea masuala ya katiba umtake akuambie katiba ya Tanzania cover lake lina alama zipi. Ni maswali yasiyo na maana.
 
Nimechoka, nilienda kusimamia interview watu wa ana degree za finance za kwanza na za pili na CPA wameshindwa kujibu swali la written interview lililohoji Noti ya Elfu kumi ina mnyama gani? Nimechoka. Sasa mtu anasomea mambo ya fedha ya kitu gani wakati hajui hata hela noti ya elfu 10 ina mnyama gani.

Hopeless kabisa wasomi wetu wajiongeze waache kukariri notisi vyuoni kufaulu tu. Hizo bachelor na masters za finance na CPA walipataje? Wana JamiiForums naomba ufafanuzi. Nimechoka leo nimeamini wasomi wetu wengi wako below standard.

Wote wameshindwa kujibu hilo swali na sifa za midigrii yao na CPA zao very sad.

Tembo hana maajabu ngoja tuwasamehe bure, kuna tatizo sugu la mimi ni nani nipate stress za ubora wa kazi wakati manufaa hakuna na wengine hawafanyi, fanya Jambo ambalo halikuletei shida na watu, kauli mbiu acha waende kwa nini nihojiwe na wapumbavu kisa tu kufanya kazi yangu kwa ubora, mwishowe ndio wanapatikana hao uliokutana nao, kukata tamaa miongoni mwa watumishi kisa tu waliopewa dhamani hawathamini ubora tena
 
Nimechoka, nilienda kusimamia interview watu wa ana degree za finance za kwanza na za pili na CPA wameshindwa kujibu swali la written interview lililohoji Noti ya Elfu kumi ina mnyama gani? Nimechoka. Sasa mtu anasomea mambo ya fedha ya kitu gani wakati hajui hata hela noti ya elfu 10 ina mnyama gani.

Hopeless kabisa wasomi wetu wajiongeze waache kukariri notisi vyuoni kufaulu tu. Hizo bachelor na masters za finance na CPA walipataje? Wana JamiiForums naomba ufafanuzi. Nimechoka leo nimeamini wasomi wetu wengi wako below standard.

Wote wameshindwa kujibu hilo swali na sifa za midigrii yao na CPA zao very sad.
Kwamba hawezi kuzijua tarakimu, sasa anatakiwa ajue picha zilizomo? Dunia ya leo muamala inafanyika kwa kadi za benki, wengine wanatakiwa wajue noti inamuonekano gani? Tz yetu!
 
Finance Manager
Chuo gani kasomea ambayo hakitaki ajue pesa? mfano yeye meneja mikopo microfinance company ambako watu huleta cash na kumpa teller kisha yeye kukabidhiwa as a manager azipeleke bank sababu teller hawezi handle kiasi kikubwa cha pesa kama hicho kwa hiyo hahitaji kuhakiki kama hizo pesa si kuwa tu zimetimia bali pia ni genuine?

Kwa hiyo huyo finance manager ni wa makaratasi tu?
 
Kwa hiyo,hilo swali ndilo linalotoa prove kwamba watu wanauelewa mdogo?hilo swali hata wewe unaweza ulizwa na ukalikosa...usiwazarau hao watu.
Ukiuliza maswali ya vyuoni watateremka hadi ukome wanajua hao

Muulize wewe unesomea mambo ya fedha atakujibu tena kwa mbwembwe ndio

Haya msomi wewe wa mambo ya fedha noti ya elfu Kumi ina mnyama gani ataanza kukuporomoshea matusi hajui!!! Msomi.mbobezi wa mambo ya fedha!!!
 
Huu ujinga kwa hiyo ukisomea udaktari tuamue tu kukuuliza hivi kondomu zinakaa ngapi kwenye pakiti?

Kwani yeye anataka kazi ya kutengeneza kondomu? Same as hao kwani hiyo position ilikuwa anahusika kutengeneza fedha?

Kama ni mtu wa finance being fair mngeuliza rangi ya fedha inakuwa rahisi kwamba elfu kumi Ina rangi gani, elfu tano, elfu moja na Mia tano ya noti.

At least mtu wa finance anahusika kuzigawa hela katika makundi hivyo akiona kwa rangi ni rahisi tu kutambua .
 
Back
Top Bottom