Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3]Katiba mpya lazima iwe na vipengele katili. Kuna viongozi wengi sana wa kunyonga
Mkuu, kwa hiyo hapa unamaanisha kuwa hao mawaziri wanajiamulia wenyewe kiasi cha mishahara yao?! Samia anapowashutumu kuwa '.......lakini mbona mnakula sana......mtavimbiwa' anamaanisha wanakula sana mishahara yao?!Urefu wa kamba ni ukubwa wa mshahara. Ni matumizi ya lugha za mafumbo tu.
Kifungu cha kutokushtakiwa baadae ndicho kinaruhusu kuwa wezi hawa watu.Katiba hata ya sasa hairuhusu hayo onyesha kifungu kinachoruhusu kula kwa urefu wa kamba
Wengi hao wezi wala kwa urefu wa kamba zao Mungu alishawashughulikia sana tu hawali vyakula vyenye chumvi wala mafita wala sukari waba mimaradhi kibao hawa enjoy hizo pesa wabazoibia walalahoi wakati mlalahoi anakula chumvi,mafuta na sujari kibao na nyama choma kibao na haumwiLazima kamba nayo itunzwe la sivyo itakatika
Ila Mungu huingilia kati huikata ndio chain huwa inaishia hapo