Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
Huwa najiuliza masikini tena lenye umri mkubwa linalialia kukosa pesa aisee nashindwaga kuelewa aisee yaani kama Mimi mtoto mdogo mwenye pesa nyingi natamba nyie mijitu mizima mnakosaje pesa hivi hao wake zenu wana akili timamu kuolewa na masikini kama nyie acheni ujinga tafuteni hela nyie mafukara halafu unakuta jitu linajisifia kuwa na umri mkubwa wakati halina pesa ukiwa na umri mkubwa halafu huna pesa wewe ni kubwa jinga hamna tuzo ya umri mkubwa ila Kuna tuzo ya tajiri mkubwa