bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
ewe limbukeni tulia kimya wenye fedha hawasemi wala hawajisifuTafuta hela masikini wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ewe limbukeni tulia kimya wenye fedha hawasemi wala hawajisifuTafuta hela masikini wewe
JF ina mabilonea na mamilionea wengi sana nyuma ya "keyboard" lakini kiuhalisia utakuta waliokuwa wengi wanalelewa kwa mashemeji zao, na kutesa na vijisenti wanavyohemea kwa dada zao waliolewa!?Huwa najiuliza masikini tena lenye umri mkubwa linalialia kukosa pesa aisee nashindwaga kuelewa aisee yaani kama Mimi mtoto mdogo mwenye pesa nyingi natamba nyie mijitu mizima mnakosaje pesa hivi hao wake zenu wana akili timamu kuolewa na masikini kama nyie acheni ujinga tafuteni hela nyie mafukara halafu unakuta jitu linajisifia kuwa na umri mkubwa wakati halina pesa ukiwa na umri mkubwa halafu huna pesa wewe ni kubwa jinga hamna tuzo ya umri mkubwa ila Kuna tuzo ya tajiri mkubwa
Ha ha sawa niko palee..Utatangulia wewe Mimi utaniacha
Tafuta hela masikini weweJF ina mabilonea na mamilionea wengi sana nyuma ya "keyboard" lakini kiuhalisia utakuta waliokuwa wengi wanalelewa kwa mashemeji zao, na kutesa na vijisenti wanavyohemea kwa dada zao waliolewa!?
Kukosa maneno ya staha kwa mtu mzima aliyekosa fedha ama maskini, si uungwana hata kidogo. Hata kama una hela za kukutosha kuendesha maisha yako, siyo busara wala hoja ya msingi ya kumkoaea adabu yule asiyekuwanacho.
Hujafa hujaumvika. Itafika muda ukipevuka vya kutosha, ndipo macho yatakufunguka, na utatambua kwa nini Watanzania wenzako waliokuwa wengi ni maskini japo kuwa umri umewapika mkono. Kati ya hao naamini wapo hata ndugu zako wa damu.
Tafuta hela masikini weweewe limbukeni tulia kimya wenye fedha hawasemi wala hawajisifu
Tafuta hela masikini weweEti nguvu ya pesa na jicho la tatu.
Badilisha slogan isomeke nguvu ya pesa na jicho la nyuma.
Tafuta hela masikini weweMasikini baba yako
Tafuta hela masikini weweMbona hufuati taratibu za uandishi?
Hamna mkato, kituo , n .k.
Yani unaandika vuruvuruuuuu....
Ebu kajifunze kuandika vizuri kwanza..
Tafuta hela masikini weweUna pesa halafu hujui kuandika?
Pimbi kweli wewe.
Njoo nikupige pum.bu nikupe hizo pesa maku wewe....Tafuta hela masikini wewe
Kipaumbele changu si pesa shekhe, sas unataka kila mtu aweke pesa kama kipaumbele chake si tutaishia kuchinjana,Huwa najiuliza masikini tena lenye umri mkubwa linalialia kukosa pesa aisee nashindwaga kuelewa aisee yaani kama Mimi mtoto mdogo mwenye pesa nyingi natamba nyie mijitu mizima mnakosaje pesa hivi hao wake zenu wana akili timamu kuolewa na masikini kama nyie acheni ujinga tafuteni hela nyie mafukara halafu unakuta jitu linajisifia kuwa na umri mkubwa wakati halina pesa ukiwa na umri mkubwa halafu huna pesa wewe ni kubwa jinga hamna tuzo ya umri mkubwa ila Kuna tuzo ya tajiri mkubwa
Omba yasikukute.....wewe ni mtu mwenye KIBURI.....unajisikia sana wewe....Huwa najiuliza masikini tena lenye umri mkubwa linalialia kukosa pesa aisee nashindwaga kuelewa aisee yaani kama Mimi mtoto mdogo mwenye pesa nyingi natamba nyie mijitu mizima mnakosaje pesa hivi hao wake zenu wana akili timamu kuolewa na masikini kama nyie acheni ujinga tafuteni hela nyie mafukara halafu unakuta jitu linajisifia kuwa na umri mkubwa wakati halina pesa ukiwa na umri mkubwa halafu huna pesa wewe ni kubwa jinga hamna tuzo ya umri mkubwa ila Kuna tuzo ya tajiri mkubwa