Hivi inakuwaje mtu mzima anakosa pesa Tanzania hii?

Huwa najiuliza masikini tena lenye umri mkubwa linalialia kukosa pesa aisee nashindwaga kuelewa aisee yaani kama Mimi mtoto mdogo mwenye pesa nyingi natamba nyie mijitu mizima mnakosaje pesa hivi hao wake zenu wana akili timamu kuolewa na masikini kama nyie acheni ujinga tafuteni hela nyie mafukara halafu unakuta jitu linajisifia kuwa na umri mkubwa wakati halina pesa ukiwa na umri mkubwa halafu huna pesa wewe ni kubwa jinga hamna tuzo ya umri mkubwa ila Kuna tuzo ya tajiri mkubwa
Unatuambia au unatufokea🤕, Anyway pesa haitafutwi inategwa...Ukiitafuta utasubir san.
 
Huwa najiuliza masikini tena lenye umri mkubwa linalialia kukosa pesa aisee nashindwaga kuelewa aisee yaani kama Mimi mtoto mdogo mwenye pesa nyingi natamba nyie mijitu mizima mnakosaje pesa hivi hao wake zenu wana akili timamu kuolewa na masikini kama nyie acheni ujinga tafuteni hela nyie mafukara halafu unakuta jitu linajisifia kuwa na umri mkubwa wakati halina pesa ukiwa na umri mkubwa halafu huna pesa wewe ni kubwa jinga hamna tuzo ya umri mkubwa ila Kuna tuzo ya tajiri mkubwa
kua tajiri au maskini ni uamuzi binafsi Tanzania 🐒
 
Mbona hufuati taratibu za uandishi?
Hamna mkato, kituo , n .k.
Yani unaandika vuruvuruuuuu....

Ebu kajifunze kuandika vizuri kwanza..
 
Huwa najiuliza masikini tena lenye umri mkubwa linalialia kukosa pesa aisee nashindwaga kuelewa aisee yaani kama Mimi mtoto mdogo mwenye pesa nyingi natamba nyie mijitu mizima mnakosaje pesa hivi hao wake zenu wana akili timamu kuolewa na masikini kama nyie acheni ujinga tafuteni hela nyie mafukara halafu unakuta jitu linajisifia kuwa na umri mkubwa wakati halina pesa ukiwa na umri mkubwa halafu huna pesa wewe ni kubwa jinga hamna tuzo ya umri mkubwa ila Kuna tuzo ya tajiri mkubwa
Mtu hujisifu kwa kitu ambacho hana.
Wanaume wenye hela huwezi kuwakuta wanajisifu ila kupitia machawa wake tu ndio utajua shughuli yao.
 
Una pesa halafu hujui kuandika?
Pimbi kweli wewe.
 
Back
Top Bottom