Hivi inakuwaje mwanasheria au mwanasiasa msomi kabisa halafu anasusia uchaguzi au anakiuka sheria?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Yaani unakuta kiongozi ni msomi kabisa, tena anaongoza chama cha siasa au taasisi halafu eti ni mropokaji na fisadi wa mali za chama chake. Hii imekaaje my friends, ladies and gentlemen?

Je,
mtu wa aina hii anakua bado hajajikimboa kifikra au elimu aliyonayo ni ya kukiuka sharia, kuomba kuchangiwa pesa za matumizi yake, kuchochea ghasia au kususia chaguzi?

Inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana, mtu kujipiga kifua mbele ya umma kwamba ni msomi halafu anashindwa kutumia usomi na elimu yake kuchochea maendeleo na mabadiliko hata yake binafsi tu, na badala yake anatumia usomi na elimu yake kuchochea chuki, uhasama, migawanyiko na ghasia miongoni mwa jamii.

una maoni gani kuhusiana na hili? Na je, elimu yako imekusaidia na kukukomboa wewe binafsi au nawe ndio wale wale tu ambao elimu imewasaidia kua na chuki, kususia uchaguzi, kulipua vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi, maduka na makazi ya watu, kupora, kuharibu miundombinu na kuumiza na kuangamiza watu wenye maoni tofauti na yako?🐒

Mungu Ibariki Tanzani
 
Kuna maana gani kushiriki chaguzi za kipumbavu za kiCCM?

Hata mkiwa peke yenu bado mnachakachua matokeo.

Wote tunajua hakuna watu milioni 32 waliojitokeza kupiga kura tarehe 29, Oktoba 2025.

Lakini Samia eti akapata kura milioni 31 halafu akaenda kujiapisha uani mwa kambi la sungusungu wake!

Yawezekana kabisa katika historia ya dunia muuaji Samia ndo akawa mtu wa kwanza “kushinda” uchaguzi kwa 98% na kuapishwa uani mwa likambi ya sungusungu.

Binadamu yeyote aliye na akili timamu hawezi shiriki chaguzi za kiCCM.
 
Kuna maana gani kushiriki chaguzi za kipumbavu za kiCCM?

Hata mkiwa peke yenu bado mnachakachua matokeo.

Wote tunajua hakuna watu milioni 32 waliojitokeza kupiga kura tarehe 29, Oktoba 2025.

Lakini Samia eti akapata kura milioni 31 halafu akaenda kujiapisha uani mwa kambi la sungusungu wake!

Yawezekana kabisa katika historia ya dunia muuaji Samia ndo akawa mtu wake kwanza “kushinda” uchaguzi kwa 98% na kuapishwa uani mwa likambi ya sungusungu.

Binadamu yeyote aliye na akili timamu hawezi shirikisho chaguzi za kiCCM.
eti hizi ndio fikra mbadala za msomi dah !🤣

I'm sorry ikiwa nakusingizia usomi gentleman 🐒
 
Kuna maana gani kushiriki chaguzi za kipumbavu za kiCCM?

Hata mkiwa peke yenu bado mnachakachua matokeo.

Wote tunajua hakuna watu milioni 32 waliojitokeza kupiga kura tarehe 29, Oktoba 2025.

Lakini Samia eti akapata kura milioni 31 halafu akaenda kujiapisha uani mwa kambi la sungusungu wake!

Yawezekana kabisa katika historia ya dunia muuaji Samia ndo akawa mtu wake kwanza “kushinda” uchaguzi kwa 98% na kuapishwa uani mwa likambi ya sungusungu.

Binadamu yeyote aliye na akili timamu hawezi shirikisho chaguzi za kiCCM.
Trash 🚮
 
Halafu bado hana furaha, akaenda kujiapishia kambini kama mhalifu.
Unaweza kupigiwa kura na watu 31.9M halafu bado wasifurahie ushindi wako.

Mungu hajapenda ushindi wake ndo maana hajamaliza mwaka tayari amebadilisha Makamu wake.
Kiufupi
Mungu anashughulika naye
Shetani naye anashughulika naye
 
elimu, elimu, elimu dah 🤣
 
Yaani full maajabu!

Uchaguliwe kwa 98%….

Upate kura milioni 31….

Halafu uogope kuapishwa hadharani….

Haujapita hata mwaka, tayari mshakosana na makamu wako haramu….

Sasa naanza kuamini tokea siku ya kwanza Samia na Nchimbi hawakuwa wanaelewana.

Jambo ambalo linazidi kushangaza na kuandika historia ya watu waliopata ushindi wa aina hiyo kuanza kugombana toka mwanzo.
 
nadhani msomi anatafuta na kuja na altanatives dhidi ya kisichompendeza na sio kulalamika tu gentleman na mwishowe kuchukua maamuzi ya hovyo kabisa ikiwa ni pamoja na kususia uchaguzi au kupiga na kuumiza wananchi wenye maoni tofauti na yake, sambamba kabisa na watu ambao kabisa hawajawahi kusoma hata shule ya msingi tu 🐒
 
Samia ni muuaji.
 
kwamba hizo ndizo fikra mbadala za msomi, right gentleman?🐒
Hizo ndio fikra halisi za ccm, 98% of voters chose Sa100, yet she was sworn in barrack! Huoni kama ni maajabu haya gentleman, hata hivyo Nchimbi won't succeed Sa100 in 2030, you got it all wrong!!
 
ni sawa ni fikra za hao,

je,
fikra zako mbadala kama msomi ndio ziwe kususia uchaguzi, kuchochea ghasia, kuchoma vituo vya mafuta na kuharibu miundombinu na makazi ya watu, right?

sasa ndio umesoma nini hapo gentleman?🐒
 
Back
Top Bottom