Hivi inakuwaje mwanasheria au mwanasiasa msomi kabisa halafu anasusia uchaguzi au anakiuka sheria?

Hivi inakuwaje mwanasheria au mwanasiasa msomi kabisa halafu anasusia uchaguzi au anakiuka sheria?

Haky

Uzuri umeyaona Mwenyewe,Boss wako Nchimbi, dhamira imemsuta,kaachia,wewe ni nani Hadi ushupaze shingo?Jitakari,chukua Hatua!
Yes,
nimeona na kushangaa sana eti msomi kabisa anakiuka sheria, lakini pia anatukana na kuporomosha matusi jukwaani kana kwamba eti hayo ndio mbadala wa malalamiko yake.

inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana aise 🐒
 
Mungu Mwema,unayasikia,utayaona Kwa macho Yako!
kwamba kwa kukosa mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya wengine, msomi anajificha kwenye kuhubiri neno la Mungu 🤣
 
Yes,
nimeona na kushangaa sana eti msomi kabisa anakiuka sheria, lakini pia anatukana na kuporomosha matusi jukwaani kana kwamba eti hayo ndio mbadala wa malalamiko yake.

inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana aise 🐒
_Ofisi za wakurugenzi,kufungwa!
_Kusema wagombea,hawajui, kusoma na kuandika!
_Blaa za hapa na pale
Mambo yote HAya ni Kwa wapinzani tuu!Wewe ni mzushi na mpiga propaganda za kijinga
 
Yaani unakuta kiongozi ni msomi kabisa, tena anaongoza chama cha siasa au taasisi halafu eti ni mropokaji na fisadi wa mali za chama chake. Hii imekaaje my friends, ladies and gentlemen?

Je,
mtu wa aina hii anakua bado hajajikimboa kifikra au elimu aliyonayo ni ya kukiuka sharia, kuomba kuchangiwa pesa za matumizi yake, kuchochea ghasia au kususia chaguzi?

Inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana, mtu kujipiga kifua mbele ya umma kwamba ni msomi halafu anashindwa kutumia usomi na elimu yake kuchochea maendeleo na mabadiliko hata yake binafsi tu, na badala yake anatumia usomi na elimu yake kuchochea chuki, uhasama, migawanyiko na ghasia miongoni mwa jamii.

una maoni gani kuhusiana na hili? Na je, elimu yako imekusaidia na kukukomboa wewe binafsi au nawe ndio wale wale tu ambao elimu imewasaidia kua na chuki, kususia uchaguzi, kulipua vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi, maduka na makazi ya watu, kupora, kuharibu miundombinu na kuumiza na kuangamiza watu wenye maoni tofauti na yako?🐒

Mungu Ibariki Tanzani
TZ hakuna uchaguzi bali ni UHUNI tu.
 
_Ofisi za wakurugenzi,kufungwa!
_Kusema wagombea,hawajui, kusoma na kuandika!
_Blaa za hapa na pale
Mambo yote HAya ni Kwa wapinzani tuu!Wewe ni mzushi na mpiga propaganda za kijinga
So,
kama msomi,
akili yako imegota kabisa kwenye kuleta fujo, ghasia na maarifa as alternative ya porojo na visingizio vyako useless, right?

so,
elimu imekusaidia wapi sasa kama ndio hivyo?🐒
 
Chaguzi za maigizo ndo unaita uchaguzi? Acha kuchekesha, sifa mojawapo ya msomi ni kuwa na uwezo wa kung'amua kipi ni kweli na kipi ni uongo, huwezi kuwa na akili timamu ukashiriki chaguzi za maigizo ambazo tume nzima ya uchaguzi imejaza makada wa chama tawala unategemea nini hapo? Hata ukishinda lazima wapindishe matokeo, refer mara ngapi CUF ya kipindi Cha seif maalim imeshinda uchaguzi Zanzibar mara ngapi na hawakutangazwa.
kwamba ndio msomi umetoa maoni na mawazo mbadala yaliyotokana na usomi wako dah!

mtasogea kweli gentleman hata kahatua kamoja tu ikiwa malalamiko haya yasiyo na mbadala?🐒
 
Kuna maana gani kwa kiongozi mkuu, aliyeshinda kura kwa asilimia 98% akawa bado analilia maridhiano wakati ameungwa mkono kwa kiwango kikubwa namna hiyo, tena hayo maridhiano anatumia nguvu kubwa yapatikane hiyo ina maana gani?
ni vizuri ikiwa ni msomi,
ukawa na mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya kulaumu na kulalamika kusiko na tija gentleman, ili hatimae usomi wako ukukomboe wewe mwenyewe, lakini pia na wanaokubaliana na mtazamo wako.

nadhani kulalamika tu ni hot air gentleman 🐒
 
Alternative za namna gani ambazo ni sahihi kwa utawala wa namna hii? Kwa sababu ni wazi kwamba wanazungumzia demokrasia lakini ku I practice hawataki? Siasa za kiharakati kwa tawala za namna hii ndizo zinazofaa.
Gentleman,
kama msomi unapaswa kuzibuni hizo alternatives na kushawishi umma kuzielewa na wa kuunge mkono hatimae uweze kupata nafasi ya kutekeleza unachoamini kitaleta mabadiliko.

ni muhimu ikiwa wengine wanaizungumzia na kuipractice demokrasia kwa namna ambayo haikupendezi, msomi anapaswa kuja na mbadala wa hali hiyo na sio kuishia kulalamika tu, nadhani itapendeza zaidi gentleman, ama unaonaje?🐒
 
ni vizuri ikiwa ni msomi,
ukawa na mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya kulaumu na kulalamika kusiko na tija gentleman, ili hatimae usomi wako ukukomboe wewe mwenyewe, lakini pia na wanaokubaliana na mtazamo wako.

nadhani kulalamika tu ni hot air gentleman 🐒
Nimeuliza ndugu msomi sijalalamika Sehemu, nimeuliza kuna maana gani?

Huko chamani wenye mawazo mapya mnawafukuza mnataka mawazo ya zamani, kwani huko chamani wasomi mnawataka?
 
Nimeuliza ndugu msomi sijalalamika Sehemu, nimeuliza kuna maana gani?

Huko chamani wenye mawazo mapya mnawafukuza mnataka mawazo ya zamani, kwani huko chamani wasomi mnawataka?
In fact,
usomi hauna maana yoyote ikiwa msomi anaona kwamba kususia uchaguzi, kulipua vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi na makazi ya watu eti ndio mbadala wa changamoto zake.

na hata ukiona chama fulani cha siasa wanafanya mambo yasiyokupendeza, kama msomi inafaa uanzishe chama mbadala wa hicho ambacho hakikupendezi na hapo utakua umeitendea haki elimu yako, right?🐒
 
Ggentlemen umeshikwa pabaya unaruka ruka ruka, huko chamani kwenu mtu akileta mawazo mbadala ya kisomi mnamkubali au mnamfukuza, ukiwa msomi halafu muoga huku ukiwaza tumbo hufai kuwa msomi, angalia bunge halina chochote wanachofanya kwasababu wamejaa uoga akiongea tofauti na walio kwenye kiti ana tatizo

Asiye na hoja hukimbilia kutumia nguvu, ndio maana usomi si hoja huko kwenu bali ni mwenye uwezo wa kusifia bila kujali chochote
 
kivipi tena gentleman?
au umekosa kabisa mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya hoja mahususi mezani?

inashangaza msomi kulalamika na kulaumu badala ya kubuni na kuja na mbadala wa malalamiko yake 🐒
 
Back
Top Bottom