Hivi inakuwaje mwanasheria au mwanasiasa msomi kabisa halafu anasusia uchaguzi au anakiuka sheria?

Hivi inakuwaje mwanasheria au mwanasiasa msomi kabisa halafu anasusia uchaguzi au anakiuka sheria?

Watu kama CHADEMA wanajua wazi kabisa wamepuuzwa na watanzania na ndio maana wanaamua kukimbia kushiriki uchaguzi kukwepa Aibu
 
Kuna maana gani kushiriki chaguzi za kipumbavu za kiCCM?

Hata mkiwa peke yenu bado mnachakachua matokeo.

Wote tunajua hakuna watu milioni 32 waliojitokeza kupiga kura tarehe 29, Oktoba 2025.

Lakini Samia eti akapata kura milioni 31 halafu akaenda kujiapisha uani mwa kambi la sungusungu wake!

Yawezekana kabisa katika historia ya dunia muuaji Samia ndo akawa mtu wa kwanza ā€œkushindaā€ uchaguzi kwa 98% na kuapishwa uani mwa likambi ya sungusungu.

Binadamu yeyote aliye na akili timamu hawezi shiriki chaguzi za kiCCM.
Huna akili
 
Watu kama CHADEMA wanajua wazi kabisa wamepuuzwa na watanzania na ndio maana wanaamua kukimbia kushiriki uchaguzi kukwepa Aibu
inashangaza mno wanajipiga kifua eti wana wanasheria wasomi sana.

sasa usomi gani wa kususia uchaguzi kwa mfano?
Yaani msomi kabisa anakiuka sheria za nchi kwa makusudi?
 
Yaani unakuta kiongozi ni msomi kabisa, tena anaongoza chama cha siasa au taasisi halafu eti ni mropokaji na fisadi wa mali za chama chake. Hii imekaaje my friends, ladies and gentlemen?

Je,
mtu wa aina hii anakua bado hajajikimboa kifikra au elimu aliyonayo ni ya kukiuka sharia, kuomba kuchangiwa pesa za matumizi yake, kuchochea ghasia au kususia chaguzi?

Inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana, mtu kujipiga kifua mbele ya umma kwamba ni msomi halafu anashindwa kutumia usomi na elimu yake kuchochea maendeleo na mabadiliko hata yake binafsi tu, na badala yake anatumia usomi na elimu yake kuchochea chuki, uhasama, migawanyiko na ghasia miongoni mwa jamii.

una maoni gani kuhusiana na hili? Na je, elimu yako imekusaidia na kukukomboa wewe binafsi au nawe ndio wale wale tu ambao elimu imewasaidia kua na chuki, kususia uchaguzi, kulipua vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi, maduka na makazi ya watu, kupora, kuharibu miundombinu na kuumiza na kuangamiza watu wenye maoni tofauti na yako?šŸ’

Mungu Ibariki Tanzani
Ukiona mwanasheria wa hivyo ujue anajitambua.
 
kama msomi,
una kerwa na hilo hadi kufikia hatua ya kususia uchaguzi gentleman, right?šŸ’

kama msomi lazima uishi kwenye misingi ya uhalisia ya shule zilizopo,, ukiona kitu hakina mantiki ila ni maigizo tu basi moja ya kuonyesha usomi wako ni kuachana nalo..
 
kama msomi lazima uishi kwenye misingi ya uhalisia ya shule zilizopo,, ukiona kitu hakina mantiki ila ni maigizo tu basi moja ya kuonyesha usomi wako ni kuachana nalo..
kwamba uhalisia wa kuishi kisomi ndio kususia uchaguzi?
ulichosoma ndio hicho, right?šŸ’
 
kwamba uhalisia wa kuishi kisomi ndio kususia uchaguzi?
ulichosoma ndio hicho, right?šŸ’

usomi unakupa uelewa wa kilicho sawa na cha kubumba,,, ukiona maigizo unaachana nayo unawaachia wanaendana nayo maana, uchaguzi ni hiari kwenye kushiriki kuchagua na kuchaguliwa..
 
usomi unakupa uelewa wa kilicho sawa na cha kubumba,,, ukiona maigizo unaachana nayo unawaachia wanaendana nayo maana, uchaguzi ni hiari kwenye kushiriki kuchagua na kuchaguliwa..
kwamba hitimisho la uelewa wako wa kisomi ni kususia uchaguzi au kukiuka sheria right?šŸ’
 
Tanzania tuna vijana wa ajabu ajabu kabisa... Nyerere
Yes,
Nyerere yuko sahihi mno,
kwasababu haiwezekani msomi kabisa atamani kua mwendawazimu kwa kutibua minywele kwa makusudi kabisa šŸ’
 
Yes,
Nyerere yuko sahihi mno,
kwasababu haiwezekani msomi kabisa atamani kua mwendawazimu kwa kutibua minywele kwa makusudi kabisa šŸ’
Nyerere was right kwa mtu kama wewe, wenzako wapo kwenye kutafuta haki ya kuwa na demokrasia kamili na kuishi kama wastaarabu wewe umekalia kushabikia na kushiriki dhulma ili demokrasia isiwepo. By the way watateka na kuua wananchi wangapi ili wajiridhishe kuwa wamechaguliwa? Sababu hata wateke na kuua maelifu bado kina Tundu Lissu wataibuka wengine.
 
kiongozi mwenye akili timamu hawezi shiriki chaguzi ambayo haina haki na kuhusu kuchoma na uharibifu ni kutotenda haki mtu ukimpa haki mwenyewe atajiongoza tu
 
Back
Top Bottom