Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
- Thread starter
- #81
hizo ni dalili za msomi kufikia kiwango chake cha mwisho cha mawazo mapya na fikra mbadala gentleman.Kama mmoja anaishi nje ya fikra, anatumia mabavu kupata 98% ya kura, anatumia jeshi, anauwa kila anayepingana nae, anateka, anafira, unadhani huyu mwingine afanyeje gentleman, wewe uliye msomi tunaomba fikra pevu!
unahitaji kusisimuliwa mentaly

