Wee chawa, ule siyo uchaguzi, ni wizi mkubwa, unyang'anyi na uharamia wa uchaguzi..
View: https://youtube.com/shorts/4kAdyEwuvD8?si=3ptPqeNY1yYSlgba
Uwanja wako, refa wako, mpira wako, second, third and fourth officials wote wako.ni sawa ni fikra za hao,
je,
fikra zako mbadala kama msomi ndio ziwe kususia uchaguzi, kuchochea ghasia, kuchoma vituo vya mafuta na kuharibu miundombinu na makazi ya watu, right?
sasa ndio umesoma nini hapo gentleman?🐒
Trash 🚮Trash 🚮
Everyone knows you trying to save your life 😁,uchawa hautakusaidia,umekwishajieleze vizuri gentleman,
elimu yako imekusaidia kulalamika tu na sio kutafuta suluhisho la malalamiko yako?🐒
😂😂HIlo jina ni la Kiiraq (Wambulu) , kulitamka ni hadi uwe na maji mdomoni
Asilimia 98 unafurahia mfumo wa uchaguzi uliobadili kanuni na taratibu mpya. Kimsingi unaipenda demokrasia ya kubumba😊😊ni sawa ni fikra za hao,
je,
fikra zako mbadala kama msomi ndio ziwe kususia uchaguzi, kuchochea ghasia, kuchoma vituo vya mafuta na kuharibu miundombinu na makazi ya watu, right?
sasa ndio umesoma nini hapo gentleman?🐒
Sasa ndugu mdau wa jf,Asilimia 98 unafurahia mfumo wa uchaguzi uliobadili kanuni na taratibu mpya. Kimsingi unaipenda demokrasia ya kubumba😊😊
Hata dhamira Yako inakushtaki,kuwa umeleta mada ya kipuuzi!kama msomi,
why don't you come up with alternative ideas to attract common mwananchi and vote for you instead of kususia uchaguzi, kulipua vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi, kupiga na kuumiza wananchi wenye maoni tofauti na yako kama msomi?
elimu yakoeimekusaidia nini sasa kwa mfano gentleman?
imekusaidia kua hodari wa kulalamika au kususia uchaguzi?
ni upi umuhimu wa masters yako sasa kwenye kuchochea mabadiliko kisiasa, kijamii na kiuchumi badala ya ghasia mnazichochea?🐒
Sasa ndugu mdau wa jf,
malalamiko yako hayo dhidi ya wananchi walioamua hivyo kwa hiyari yao ndio yawe kuchoma vituo vya mafuta, makazi ya watu na vituo vya polisi kweli?
maana yake elimu yako haijakusaidia chochote right?
Uzuri umeyaona Mwenyewe,Boss wako Nchimbi, dhamira imemsuta,kaachia,wewe ni nani Hadi ushupaze shingo?Jitakari,chukua Hatua!kwamba hayo ndio maoni mbadala ya msomi, right?🤣
sasa ndugu mjanja na muerevu,Wewe ni mjinga wa mwisho .
Hapa Tanzania kulikuwa na uchaguzi au uchafuzi ? Utaingiaje kwenye uchaguzi wenye dosari ?