eti hizi ndio fikra mbadala za msomi dah !🤣Kuna maana gani kushiriki chaguzi za kipumbavu za kiCCM?
Hata mkiwa peke yenu bado mnachakachua matokeo.
Wote tunajua hakuna watu milioni 32 waliojitokeza kupiga kura tarehe 29, Oktoba 2025.
Lakini Samia eti akapata kura milioni 31 halafu akaenda kujiapisha uani mwa kambi la sungusungu wake!
Yawezekana kabisa katika historia ya dunia muuaji Samia ndo akawa mtu wake kwanza “kushinda” uchaguzi kwa 98% na kuapishwa uani mwa likambi ya sungusungu.
Binadamu yeyote aliye na akili timamu hawezi shirikisho chaguzi za kiCCM.
Trash 🚮Kuna maana gani kushiriki chaguzi za kipumbavu za kiCCM?
Hata mkiwa peke yenu bado mnachakachua matokeo.
Wote tunajua hakuna watu milioni 32 waliojitokeza kupiga kura tarehe 29, Oktoba 2025.
Lakini Samia eti akapata kura milioni 31 halafu akaenda kujiapisha uani mwa kambi la sungusungu wake!
Yawezekana kabisa katika historia ya dunia muuaji Samia ndo akawa mtu wake kwanza “kushinda” uchaguzi kwa 98% na kuapishwa uani mwa likambi ya sungusungu.
Binadamu yeyote aliye na akili timamu hawezi shirikisho chaguzi za kiCCM.
Halafu bado hana furaha, akaenda kujiapishia kambini kama mhalifu.Kuna maana gani kushiriki chaguzi za kipumbavu za kiCCM?
Hata mkiwa peke yenu bado mnachakachua matokeo.
Wote tunajua hakuna watu milioni 32 waliojitokeza kupiga kura tarehe 29, Oktoba 2025.
Lakini Samia eti akapata kura milioni 31 halafu akaenda kujiapisha uani mwa kambi la sungusungu wake!
Yawezekana kabisa katika historia ya dunia muuaji Samia ndo akawa mtu wake kwanza “kushinda” uchaguzi kwa 98% na kuapishwa uani mwa likambi ya sungusungu.
Binadamu yeyote aliye na akili timamu hawezi shirikisho chaguzi za kiCCM.
Jina lako linatamkwaje?eti hizi ndio fikra mbadala za msomi dah !🤣
I'm sorry ikiwa nakusingizia usomi gentleman 🐒
elimu, elimu, elimu dah 🤣Halafu bado hana furaha, akaenda kujiapishia kambini kama mhalifu.
Unaweza kupigiwa kura na watu 31.9M halafu bado wasifurahie ushindi wako.
Mungu hajapenda ushindi wake ndo maana hajamaliza mwaka tayari amebadilisha Makamu wake.
Kiufupi
Mungu anashughulika naye
Shetani naye anashughulika naye
Yaani full maajabu!Halafu bado hana furaha, akaenda kujiapishia kambini kama mhalifu.
Unaweza kupigiwa kura na watu 31.9M halafu bado wasifurahie ushindi wako.
Mungu hajapenda ushindi wake ndo maana hajamaliza mwaka tayari amebadilisha Makamu wake.
Kiufupi
Mungu anashughulika naye
Shetani naye anashughulika naye
HIlo jina ni la Kiiraq (Wambulu) , kulitamka ni hadi uwe na maji mdomoniJina lako linatamkwaje?
nadhani msomi anatafuta na kuja na altanatives dhidi ya kisichompendeza na sio kulalamika tu gentleman na mwishowe kuchukua maamuzi ya hovyo kabisa ikiwa ni pamoja na kususia uchaguzi au kupiga na kuumiza wananchi wenye maoni tofauti na yake, sambamba kabisa na watu ambao kabisa hawajawahi kusoma hata shule ya msingi tu 🐒Yaani full maajabu!
Uchaguliwe kwa 98%….
Upate kura milioni 31….
Halafu uogope kuapishwa hadharani….
Haujapita hata mwaka, tayari mshakosana na makamu wako haramu….
Sasa naanza kuamini tokea siku ya kwanza Samia na Nchimbi hawakuwa wanaelewana.
Jambo ambalo linazidi kushangaza na kuandika historia ya watu waliopata ushindi wa aina hiyo kuanza kugombana toka mwanzo.
Samia ni muuaji.nadhani msomi anatafuta na kuja na altanatives dhidi ya kisichompendeza na sio kulalamika tu gentleman na mwishowe kuchukua maamuzi ya hovyo kabisa ikiwa ni pamoja na kususia uchaguzi au kupiga na kuumiza wananchi wenye maoni tofauti na yake, sambamba kabisa na watu ambao kabisa hawajawahi kusoma hata shule ya msingi tu 🐒
Hizo ndio fikra halisi za ccm, 98% of voters chose Sa100, yet she was sworn in barrack! Huoni kama ni maajabu haya gentleman, hata hivyo Nchimbi won't succeed Sa100 in 2030, you got it all wrong!!kwamba hizo ndizo fikra mbadala za msomi, right gentleman?🐒
ni sawa ni fikra za hao,Hizo ndio fikra halisi za ccm, 98% of voters chose Sa100, yet she was sworn in barrack! Huoni kama ni maajabu haya gentleman, hata hivyo Nchimbi won't succeed Sa100 in 2030, you got it all wrong!!
Wee chawa, ule siyo uchaguzi, ni wizi mkubwa, unyang'anyi na uharamia wa uchaguzi..Hivi inakuaje mwanasheria au mwanasiasa msomi kabisa halafu anasusia uchaguzi au anakiuka sheria?