Hivi inakuwaje mwanasheria au mwanasiasa msomi kabisa halafu anasusia uchaguzi au anakiuka sheria?

Watu kama CHADEMA wanajua wazi kabisa wamepuuzwa na watanzania na ndio maana wanaamua kukimbia kushiriki uchaguzi kukwepa Aibu
 
Huna akili
 
Watu kama CHADEMA wanajua wazi kabisa wamepuuzwa na watanzania na ndio maana wanaamua kukimbia kushiriki uchaguzi kukwepa Aibu
inashangaza mno wanajipiga kifua eti wana wanasheria wasomi sana.

sasa usomi gani wa kususia uchaguzi kwa mfano?
Yaani msomi kabisa anakiuka sheria za nchi kwa makusudi?
 
Ukiona mwanasheria wa hivyo ujue anajitambua.
 
kama msomi,
una kerwa na hilo hadi kufikia hatua ya kususia uchaguzi gentleman, right?๐Ÿ’

kama msomi lazima uishi kwenye misingi ya uhalisia ya shule zilizopo,, ukiona kitu hakina mantiki ila ni maigizo tu basi moja ya kuonyesha usomi wako ni kuachana nalo..
 
kama msomi lazima uishi kwenye misingi ya uhalisia ya shule zilizopo,, ukiona kitu hakina mantiki ila ni maigizo tu basi moja ya kuonyesha usomi wako ni kuachana nalo..
kwamba uhalisia wa kuishi kisomi ndio kususia uchaguzi?
ulichosoma ndio hicho, right?๐Ÿ’
 
Ukiona mwanasheria wa hivyo ujue anajitambua.
kwamba alichosomea ni kukiuka sheria, right? Na kwamba elimu yake haijamkomboa bado,si ndio?๐Ÿ’
 
kwamba uhalisia wa kuishi kisomi ndio kususia uchaguzi?
ulichosoma ndio hicho, right?๐Ÿ’

usomi unakupa uelewa wa kilicho sawa na cha kubumba,,, ukiona maigizo unaachana nayo unawaachia wanaendana nayo maana, uchaguzi ni hiari kwenye kushiriki kuchagua na kuchaguliwa..
 
usomi unakupa uelewa wa kilicho sawa na cha kubumba,,, ukiona maigizo unaachana nayo unawaachia wanaendana nayo maana, uchaguzi ni hiari kwenye kushiriki kuchagua na kuchaguliwa..
kwamba hitimisho la uelewa wako wa kisomi ni kususia uchaguzi au kukiuka sheria right?๐Ÿ’
 
Tanzania tuna vijana wa ajabu ajabu kabisa... Nyerere
Yes,
Nyerere yuko sahihi mno,
kwasababu haiwezekani msomi kabisa atamani kua mwendawazimu kwa kutibua minywele kwa makusudi kabisa ๐Ÿ’
 
Yes,
Nyerere yuko sahihi mno,
kwasababu haiwezekani msomi kabisa atamani kua mwendawazimu kwa kutibua minywele kwa makusudi kabisa ๐Ÿ’
Nyerere was right kwa mtu kama wewe, wenzako wapo kwenye kutafuta haki ya kuwa na demokrasia kamili na kuishi kama wastaarabu wewe umekalia kushabikia na kushiriki dhulma ili demokrasia isiwepo. By the way watateka na kuua wananchi wangapi ili wajiridhishe kuwa wamechaguliwa? Sababu hata wateke na kuua maelifu bado kina Tundu Lissu wataibuka wengine.
 
Genleman umepotoka sana mpaka nakuhurumia

Kama kuna mahali unaitwa BABA naomba ujiuzulu ubaki kuwa chokoraa wa kawaida kama wifi yako lucas mbwa wa shamba.

Cc: Lucas Mwashambwa
 
kiongozi mwenye akili timamu hawezi shiriki chaguzi ambayo haina haki na kuhusu kuchoma na uharibifu ni kutotenda haki mtu ukimpa haki mwenyewe atajiongoza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ