Hivi inakuwaje mwanasheria au mwanasiasa msomi kabisa halafu anasusia uchaguzi au anakiuka sheria?

na kwamba elimu yako imekusaidia kulalamika tu na kutafuta haki ya kulipua vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi, ofisi na makazi ya watu, kupiga wananchi waliokataa kubebwa ufala na fikra au maoni yako na kuwaua.

Kwamba elimu yako imekusaidia katika kupambana kuharibu miundombinu ya umma n.k, right?

hivyo ndivyo Nyerere alikufundisha, right?🐒
 
ni kutoshiriki uchafuzi.. ambayo ni hiari,
sasa kulikoni ulijisumbua kwenda masomoni kwa gharama kubwa mwishowe unaishi kwa hiyari useless kama hivyo?

huoni kwamba huko ni kupoteza rasilimali muda na fedha for nothing?🐒
 
sasa kulikoni ulijisumbua kwenda masomoni kwa gharama kubwa mwishowe unaishi kwa hiyari useless kama hivyo?🐒
ndo faida ya usomi, kukufungua maarifa na kukupa machaguo na siyo ufuasi bila udadisi.

ukiona gharama kuna ujinga nao ni free,,,
 
kwamba alichosomea ni kukiuka sheria, right? Na kwamba elimu yake haijamkomboa bado,si ndio?🐒
Nasema hivi, ukiona mwanasheria wa hivyo ujue anajitambua, na hayuko tayari kufuata sheria za kipuuzi.
 
ndo faida ya usomi, kukufungua maarifa na kukupa machaguo na siyo ufuasi bila udadisi.

ukiona gharama kuna ujinga nao ni free,,,
labda uwaambie wadau kua hizo ni athari za uvivu masomoni, na kwamba pamoja na kutumia muda na gharama kubwa shuleni unaishia kususia uchaguzi tu 🤣
 
Nasema hivi, ukiona mwanasheria wa hivyo ujue anajitambua, na hayuko tayari kufuata sheria za kipuuzi.
anajitambua kivipi mathalani msomi huyo anasota korokoroni?

yaani ni msomi halafu anakua na tabia za nguruwe, right?🐒
 
Wewe ndio umejifunza kuharibu na kuiba mali za watu na za umma. Sisi tumefundishwa kutenda na kudai haki. Wewe wa kuua na kuteka endeleeni muone kama karma itawaacha. Nyerere was right wakati aliposema kuna baadhi ya vijana ni aibu kutuongoza
 
sema tu umejifunza kususia uchaguzi, kuharibu miundombinu, kupiga wapiga kura, kupora mali za watu, kulipua vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi na makazi ya watu n.k

huna haja ya kuzunguka sana gentleman. Mtu ambao katoka kapa masomoni utamjua kirahisi tu 🐒
 
Wewe sema mwenyewe ulivyojifunga kuiba, kuua kuteka na kuharibu mali za umma
 
Polepole alisema ukiwa na Nida tuu umehesabiwa kwenye kura za ccm. Weee kupenda hayo
 
labda uwaambie wadau kua hizo ni athari za uvivu masomoni, na kwamba pamoja na kutumia muda na gharama kubwa shuleni unaishia kususia uchaguzi tu 🤣
masomo yakikuingia utagundua nguvu zako ni muhimu sana kushiriki kulijenga na si kulidanganya Taifa..
 
fisadi wa mali za chama chake.
hapa unawasema viongozi wa CCM maana hawa wahuni ndio wapo juu ya sheria, hata wakiua, wakibaka, wakiiba kura , hakuna chochote cha kisheria cha kuwawajibisha.
kama jibu lako ni hapana, ina maana ni viongzoi wa upinzani, na kama ni viongozi wa upinzani ina maana vyombo vya utoaji haki ni legelege kiasi cha kushindwa kuwawajibisha ?
wakati mnaandika vitu kwenye devices zenu hamna budi kuhakikisha kwamba ubongo umeshikana na mikono ili kujiepusha na ku type nonsense.
sawa gentleman wa kishapu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…