Hivi inakuwaje mwanaume unavaa bukta ya kuchezea mpira ndani ya suruali badala ya boxer?

Unaolewa lini Dada angu?
 
Unaolewa lini Dada angu?
 
Unaolewa lini Dada angu?
 
Unaolewa lini Dada angu?
 
Ndo maana kukawepi na size tofauti kuna mpaka xxxl na zipo ambazo ni nyepesi japokuwa za cotton mnajidaigi mnabanwa pumbu wakati vipumbu vyenyewe hata kiganjani huwa havijai msituchoshe na mapensi yenu

Wala sikuchoshi sababu navaa mimi!!
 
Iv inakuaje mtu kero zako una waelezea watu usio wajua wakusaidiaje.sa si umuelezee muhusika[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Na ndo maana wamepanick mtu unakuta upo naye chumbani mpensi unaninginiaa alafu umelegea kama utumbo khaaa,boxer ina raha yake jaman
Utakua una kabahati kweli ka kukutana na hizo pensi nyanya, endelea hivo hivo utakutana na boxer tu siku moja.
 
Jaman hapana kuna boxer nzuri zipo kamabpensi nzuri saaanaa kuliko kuvaa hayo mamifuko yenu mtu unakuwa umetuna kama umevaa airbag jaman raha ya kengele ziwe kwenye hali ya usafi
Hakuna uhusiano wa uchafu na kuvaa pensi...! Kwani anayevaa boxer ndo lazima awe msafi!?? Na kwa nn unadhani anayevaa pensi lazima awe mchafu!?? Issue ya usafi haihusiani na kuvaa pensi au boxer...! Uchafu ni hulka ni tabia ya mtu....!

Kwa mfano mm sipendi kabisa kuona Dem amevaa chupi nyeusi au nyekundu...yaani nikiona hivyo,hata ningekuwa na genye vp naweza kuahirisha...huwa nawaambia mapema,napenda rangi nyeupe...lkn haina maana kwamba wanaovaa nyeusi ni wachafu....!! Mm tu ndo sipendi hizo rangi.

Yaani joto km hili la sasa hv nivae boxer!!? Aisee hapana. Pensi tunaweka na tahadhali ya kufumaniwa...ukifumaniwa ukiwa na pensi unakimbia tu,boxer utatokaje!?? Halafu pensi tunavaa zile laini,kiasi kwamba mzigo ukisima ww mwenyewe tu utaingiza mkono na kwa vile pensi ina nanafasi,hutapata shida hata kudumbukiza mdomoni bila kuivua....!!!
 
Bukuta ni nguo ya michezo, kwa hiyo ukimuona wa hivyo ujue anaenda mchezoni(gegedoni)
 
Mbona kuna boxer nzuri saana jaman large na Xxl alafu nyepesi tu pale postaa kuna duka la boxer kibao alafu bei rahisi tu
We jinga kweli kwa hiyo unahisi kila mtu anaisji dar, Sir kwetu Kamtemanumi hakuna bokisa tunavaa bukuta aka pensii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…