Hivi inakuwaje mwanaume unavaa bukta ya kuchezea mpira ndani ya suruali badala ya boxer?

Mtafikia hatua mtake tuwe tunaacha korodani nyumbani ... maana kila siku hiki mara hiki mara kile
 


Viumbe wa kitanzania wote wana matatizo ya kutojitambua......mtu unaonaje ufahari kuvaa bukta as chupi au bukta pamoja na chupi then unapandishia na suruali juu yake? Lile joto la Dar na nguo zote hizo mwilini si ndiyo mtu unanuka zaidi, ukizingatia watu wengi wa Dar hawaogi, yaani ni bonge la kinyaaa. AU kukuta mwanamke anaringa kwa kuvaa minywele ya marehemu huku akijisifia eti ni ya milioni moja, kucha za paka, nyusi za kuokoteza Kariakoo, huku akishindwa hata kujisafisha ipasavyo kunako papuchini. Watanzania mbadilike jamani.
 
Kabla ya kulaumu unatakiwa umwambie
"baby naomba niambie background yako ya zamani hasa ulivokua shule ya msingi"
Mana unakuta mwenzio kashazoea kusunda toka shule mana walimu walikua wanatandika bakora hata hatari kwaiyo kuvaa "VIGOZI" lilikua ni jambo la kawaida sasa unakuta mwenzio akaendekeza uvaaji huko mpaka kwenye maisha baada ya shule.

Yaonekana humjui baby wako vizuri bado.
 
Kikubwa kijisitiri. Mbona mimi navaa kipensi cha jeans badala ya boxer
 
Unaongea lafudhi ya wapi hiyo ya kuongeza aaaa zisizohitajika? Khaaa!
 
Kuvaa bukta ya ndani ni mhimu manake huwa zinatokea shida zisizo kusudiwa halafu ukabaki na boksa!! Waliopita jeshini wanajua, huwezi kutembea kizembe namna hiyo eti huna bukta ya NDANI,
Hilo naliweka wazi.
Boxer + bukta = comfortably
 
hahahah nimecheka kuona mada tuu sasa nimfungua uzi ndio nipo hoi umewaza nini mtoa mada
Yaaaan unakutaa mkaka wa maanaa kavaa kapendeza basi bwana usiombe ainambe au ashilikilie bomba la mwendo kasi khaaa unakuta kavaa mpensi wa kijani unaborekaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…