Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Fanya kazi acha kupenda Ganda la ndizi kusubiri watoto wajipate uende kuwanyonya we mzee jinga sanaHuna akili. Wewe kama umeangaika ukapata huwezi kuwasaidia wazazi wako?
Kuwa oyaone, ndio utashagaa 9 kuitwa kenda...Fanya kazi acha kupenda Ganda la ndizi kusubiri watoto wajipate uende kuwanyonya we mzee jinga sana
Acha kukwepa majukumu tunza mzazi wako kwa kadri unavyoweza. Kuna watu wanatamani awepo mtu amwite baba na asikie neno lolote toka kwake.Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana aisee mtu mweusi akili hana kabisa huu ni udiktekta mambo leo Kwa watoto ukweli usemwe nyie wazee msipende Ganda la ndizi
Huyo mzazi majukumu yawe kwangu kwani Mimi ndio niliemzaaAcha kukwepa majukumu tunza mzazi wako kwa kadri unavyoweza. Kuna watu wanatamani awepo mtu amwite baba na asikie neno lolote toka kwake.
Mzazi aliyenitelekeza huyo kwangu mimi ni takataka..Huna akili. Wewe kama umeangaika ukapata huwezi kuwasaidia wazazi wako?
KabisaMzazi aliyenitelekeza huyo kwangu mimi ni takataka..
Mzazi aliyenipambania mimi sina shida naye, ila yule aliyenitelekeza, nitamtupa mbali kama toilet paper..Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana wakati na yeye alikua kijana kwahiyo anampa mzigo huyu mtoto baada ya kupambania familia yake anaanza kulea mzazi asiejielewa aisee mtu mweusi akili hana kabisa huu ni udiktekta mambo leo Kwa watoto ukweli usemwe nyie wazee msipende Ganda la ndizi
Mleta mada anasema mzazi ambaye ameshindwa kumrithisha mali hastaili msaada.Mzazi aliyenitelekeza huyo kwangu mimi ni takataka..
Wenyewe mbona hawajatutunza hata urithi wa mbuzi
Tunza mzazi wako acha kukwepa majukumu.Mzazi aliyenitelekeza huyo kwangu mimi ni takataka..
kaka acha jazba umeuliza lakini subiri, na kubali majibu::=ka majibu unayo usingeketa huu uzi...Fanya kazi acha kupenda Ganda la ndizi kusubiri watoto wajipate uende kuwanyonya we mzee jinga sana
Nyie si mnawaambiaga watoto kuwa "tafuta cha Kwako acha kutegemea urithi wa wazazi" na sisi tunawaambia na nyie wazazi wa hovyo "tafuteni vya kwenu, acheni kutegemea vya watoto"Huna akili. Wewe kama umeangaika ukapata huwezi kuwasaidia wazazi wako?
Hao watu ambao Mimi niwasaidie ni vilema au maana sijaja nao duniani nikurupuke tu kusaidia mtu ambae sio kilema na hata kilema ni kazi ya serikali kusaidia sababu tunatoa kodiMzazi msaidie kama una uweZo
Saidia ndugu
Saidia kila mtu kama una uweZo wa kusaidia
Ni heri kusaidia kuliko kusaidiwa
Atafute vya kwake kama ambavyo wanatuambiaga sisi..Tunza mzazi wako acha kukwepa majukumu.
Kuna mabao mengine wazazi ilifaa wapige nyeto tuHuyo mzazi majukumu yawe kwangu kwani Mimi ndio niliemzaa