Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 1,535
- 2,565
Nilihudhuria seminar moja nchi jirani kuhusu mambo ya pension, facilitator mmoja alisema hivi, "wakati nimekwenda kuwatembelea wazazi wangu kijijini, tuliongea mambo mengi na baba yangu, lakini la mwisho, nilimwambia hivi baba yangu, I think, this is the last generation who takes care for their parents, the following generation I doubt if they will do like us" aliposema neno, "the following generation" nadhani alikua na maana ya watoto waliozaliwa na watu wa umri wake. Yule jamaa kwa kumtazama kwa macho, alikua ni mtu wa umri wangu. Dalili ndio hzi sasa, zimeanza kujionesha