Hivi inakuwaje mzazi anakua tegemezi Kwa mtoto ambaye amejitafuta Kwa jasho lake bila kumrithisha hata mbuzi mmoja

Nilihudhuria seminar moja nchi jirani kuhusu mambo ya pension, facilitator mmoja alisema hivi, "wakati nimekwenda kuwatembelea wazazi wangu kijijini, tuliongea mambo mengi na baba yangu, lakini la mwisho, nilimwambia hivi baba yangu, I think, this is the last generation who takes care for their parents, the following generation I doubt if they will do like us" aliposema neno, "the following generation" nadhani alikua na maana ya watoto waliozaliwa na watu wa umri wake. Yule jamaa kwa kumtazama kwa macho, alikua ni mtu wa umri wangu. Dalili ndio hzi sasa, zimeanza kujionesha
 
Kijana saa zingine mafanikio sio bidii... Unaweza ufanye bidii Bado kusomeke zero, usijione mjanja wa maana au una akili sana kwakuwa umepata.. ni kudra ya Mungu.... Mzazi wako ni muhimu kuliko Huyo Malaya unayempa Dunia Yako...ikitokea chochote watauza ardhi wayajenge Wakati saa hizo Malaya wako anakazwa somewhere... Tena wewe ujioombee uzee mwema Laana a hii ni nyeupe.. kwako. [emoji854]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…