Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
-
- #41
Mpaka hapo huyo mzazi ni punguani kama hata maamuzi ya kuleta kiumbe duniani hayajui yapo Kwa naniSiwezi kujibu swali ambalo halina logic. Vipi kwanini na wewe kama hukutaka akuzae hukugoma kuzaliwa?
Ni hatariMmh mna maneno mazito kwa wazazi wenu, Mungu aiponye mioyo yenu....poleni
Utoto bado unamsumbua,akipevuka hadi nyumba atawajengea wazazi wake!!Kuwa oyaone, ndio utashagaa 9 kuitwa kenda...
Endelea kuona wazee wako hawastahili msaada wako kwa kuwa tu haujaridhi chochote toka kwao.
Hahahaaaa daah mkuu umenichekesha sana..Siwezi kujibu swali ambalo halina logic. Vipi kwanini na wewe kama hukutaka akuzae hukugoma kuzaliwa?
Fanya kazi ujenge nyumba Yako usisubiri Ganda la ndizi kutoka Kwa mtoto sababu mtoto nae anawajengea watoto wake futureUtoto bado unamsumbua,akipevuka hadi nyumba atawajengea wazazi wake!!
Kamwe siwezi kumpa hata shilingi 100 mzazi aliyenitelekeza, achilia mbali kumjengea nyumba..Utoto bado unamsumbua,akipevuka hadi nyumba atawajengea wazazi wake!!
Mkuu wenzako waligoma mimba zikachoropoka kabla ya miezi tisa. Kama wewe ulizaliwa ina maana ulikubali😀😀😀Hahahaaaa daah mkuu umenichekesha sana..
Umeshamwqmbia hivyo huyo baba yako? Aunjnakuja kupiga kelele hukuHuyo mzazi majukumu yawe kwangu kwani Mimi ndio niliemzaa
Niliwaomba wanizaeEmbu msituletee umagharibi hapa; mama yako kakuzaa kwa uchungu na baba yako alijikaza asihonge malaya au kunywea hela zote ili akulee , ulijinyea na wakawa wanapambana na kinyesi chako, ulikuwa unalia usiku mzima na wakakuvumilia na asubuhi na usingizi wote walitoka kwenda kupambana kwa niaba yako
Leo hii kisa na wewe unaweza zaa au kuzalisha unajiona umeshuka toka mbinguni kwa nguvu za roho mtakatifu
Kwa utamaduni wetu utaonekana ni mtu wa ajabu sana ukisema utoe haya mawazo uliyoyaandika kwenye huu uzi mbele ya hadhira
kama alikutelekeza hilo jambo lingine hata mimi kwa 99.99 nakuunga mkono hasa kama alijua upo na yeye akaamua kukaa mbaliKamwe siwezi kumpa hata shilingi 100 mzazi aliyenitelekeza, achilia mbali kumjengea nyumba..
NimeshamuambiaUmeshamwqmbia hivyo huyo baba yako? Aunjnakuja kupiga kelele huku
Kugoma kuzaliwa is biologically impossible lakini kugoma kulala na mwanamke/mwanaume is biologically possible..Siwezi kujibu swali ambalo halina logic. Vipi kwanini na wewe kama hukutaka akuzae hukugoma kuzaliwa?
Kwa hiyo wwe umelelewa kituo cha watoto yatima!?Mzazi aliyenitelekeza huyo kwangu mimi ni takataka..
We're on the same boat..kama alikutelekeza hilo jambo lingine hata mimi kwa 99.99 nakuunga mkono hasa kama alijua upo na yeye akaamua kukaa mbali
All in all,Kamwe siwezi kumpa hata shilingi 100 mzazi aliyenitelekeza, achilia mbali kumjengea nyumba..
Huyo Hana akili anaongea kama mtoto anashushwa kama mvua kumbe limevua nguo likiwa na akili timamu kabisaKugoma kuzaliwa is biologically impossible lakini kugoma kulala na mwanamke/mwanaume is biologically possible..
Waliombwa wawazaewazazi wawili wanaweza kulea watoto 8 ila watoto nane wakashindwa kuwalea wazazi wawili.
Baba umeongea point mm mama yangu mxazi ananitesa sana katika maisha yake yote hakujenga nyumba ila baada ya kuona usumbufu mim8 nilipe kodi nae nimlipie ilibidi nijenge na hela niliitafuta kea shida mpaka wizi nilifanya nikajenga ndo anaishi hapo mpaka leo.ila sasa kila mwezi anataka mshaharaaHuwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana wakati na yeye alikua kijana kwahiyo anampa mzigo huyu mtoto baada ya kupambania familia yake anaanza kulea mzazi asiejielewa aisee mtu mweusi akili hana kabisa huu ni udiktekta mambo leo Kwa watoto ukweli usemwe nyie wazee msipende Ganda la ndizi
Swali zuri. Ilifaa akamtamkie mzazi wake uso kwa uso.Umeshamwqmbia hivyo huyo baba yako? Aunjnakuja kupiga kelele huku