Hivi inawezekana kupata mwanaume mwenye sifa hizi?

Be what' you want in others, mm ninazo hizo sifa, 178cms, 75kg, black, funny and very generous but sina kazi [emoji3] so km na ww unazo hizo sifa unazozitaka in a man, ni pm
 
Sifa ninazo urefu 180, uzito 85, bold black. Ila nimeoa km uko tayari uwe second choice
 
Mwanaume bora kuliko wote ni yule utakaemchonga kwa mikono yako mwenyewe
 
Thamani ya mwanaume wa ivo ni wewe kuwa na bikra.
Sasa wewe unakuja na package gn!?
 
Wa hivyo lazima atakuwa mcha Mungu tu, tupo mbona ila mimi tayari ninaye.
 
wewe izo sifa unazo?
 

Umevuta bangi ya wapi leo??
 
kama ujampata basi huna sifa wanazozitaka wao......
 
Kama una bikra sawa...
Kama bikra huna basi punguza masharti yako.
 
"asiwe anapenda ndogo"....nini hicho tufafanulie
 
Weka picha yako ili nasi tukuone.
 
Ukimtaka wa hivyo inabidi kwanza umtambue, halafu umtongoze wewe mwenyewe. Vinginevyo sahau!
 
Baba mzazi wako anasifa hizo....? Ukinijibu nitakwambia pakumpata
 
Daaaah! ilikuwa kidogo unipate ila nikakosa sifa moja ya uweusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…