Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Anaweza asipate ila nilichoona watu wanachanganya wale wanasheria waliofanya mda na lga bado kwenye zile nafasi 100 bado hawajaitwa kazini wanaoitwa sa hivi ni waliokuwepo kwenye kanzi data wao siku wakiitwa wataitwa kwa pamoja asipotokea jina lake hapo ndio atakuwa amekosaKama kichwa kinavyojieleza,
Nina mpwa wangu naishi naye alifanya usaili utumishi kwa kada ya sheria.
Katika mtihani wake alibahatika kupata 90/100 akaibuka wa kwanza kwenye mtihani wa kuandika...
Wee ndio ulikuwa unajiita shombe la kisomali nn mkuu ukabadili I'd1.Huenda kuna waliopata 91-99/100.
2. Huenda aliitwa oral interview akatoa maboko.
Mambo ni mengi
Haya mambo ni bahatiSitataja mwaka ila yupo jamaa namjua alipata 84 kwenye written akaenda oral na placement zilipotoka hakupata na aliyepata alikua kwenye written kapata 58 zilikua ni post za wizara ya maliasili na utalii.
Kama kichwa kinavyojieleza,
Nina mpwa wangu naishi naye alifanya usaili utumishi kwa kada ya sheria.
Katika mtihani wake alibahatika kupata 90/100 akaibuka wa kwanza kwenye mtihani wa kuandika.
Lakini cha ajabu mpaka sasa hajaitwa kazini.
Tumekua nawasiwasi labda alitudanganya.
Hivi inawezekana mtu akawa wa kwanza kwenye usaili wa kuandika wa utumishi alafu asiitwe kazini. Na ukizingitia anadai kwamba alipata 90/100.
Hii sio kweli ndugu mtanzania.Usijisumbue...Awamu hii Kama huna 'Connexion' andika MAUMIVU meza Panadol..!
Connection ndiyo utopolo ganiUsijisumbue...Awamu hii Kama huna 'Connexion' andika MAUMIVU meza Panadol..!
Muache kijana hakuwa na connectionKama kichwa kinavyojieleza,
Nina mpwa wangu naishi naye alifanya usaili utumishi kwa kada ya sheria.
Katika mtihani wake alibahatika kupata 90/100 akaibuka wa kwanza kwenye mtihani wa kuandika.
Lakini cha ajabu mpaka sasa hajaitwa kazini.
Tumekua nawasiwasi labda alitudanganya.
Hivi inawezekana mtu akawa wa kwanza kwenye usaili wa kuandika wa utumishi alafu asiitwe kazini. Na ukizingitia anadai kwamba alipata 90/100.
Rushwa ipo nchini lakini bado haijafika Sekretarieti ya Ajira.Lini utaelewa?Usijisumbue...Awamu hii Kama huna 'Connexion' andika MAUMIVU meza Panadol..!
Uko sahihiIko hivi watu wanashindwa kuelewa kuna mtu alipata 95 written ila hakupata kazi, inawezekana kabisa na wengine wanahisi amehujumiwa kumbe alifanya vibaya oral interview
Mkiwa shortlisted watu 100 mnapoingia oral interview mnaanza na moja means marks za written hazitumiki tena, sasa watu wanafikiria marks zao za written zitawaokoa na wanabweteka hivo inafanya aliepata marks 60 au 50 kwene written kupata kazi kwa sababu alijipanga vizuri kwene oral na anapata kazi