Hivi inawezekana mtu akawa wa kwanza kwenye usaili wa kuandika wa utumishi halafu asiitwe kazini

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Kama kichwa kinavyojieleza,
Nina mpwa wangu naishi naye alifanya usaili utumishi kwa kada ya sheria.

Katika mtihani wake alibahatika kupata 90/100 akaibuka wa kwanza kwenye mtihani wa kuandika.

Lakini cha ajabu mpaka sasa hajaitwa kazini.

Tumekua nawasiwasi labda alitudanganya.

Hivi inawezekana mtu akawa wa kwanza kwenye usaili wa kuandika wa utumishi alafu asiitwe kazini. Na ukizingitia anadai kwamba alipata 90/100.
 
Anything can happen and every moment is unique. Life isn't like how schools taught us eg how to find area of rectangle just by multiplying width and length of the rectangle.

I wish schools system zifumuliwe.
 
Kama kichwa kinavyojieleza,
Nina mpwa wangu naishi naye alifanya usaili utumishi kwa kada ya sheria.

Katika mtihani wake alibahatika kupata 90/100 akaibuka wa kwanza kwenye mtihani wa kuandika...
Anaweza asipate ila nilichoona watu wanachanganya wale wanasheria waliofanya mda na lga bado kwenye zile nafasi 100 bado hawajaitwa kazini wanaoitwa sa hivi ni waliokuwepo kwenye kanzi data wao siku wakiitwa wataitwa kwa pamoja asipotokea jina lake hapo ndio atakuwa amekosa
 
Sitataja mwaka ila yupo jamaa namjua alipata 84 kwenye written akaenda oral na placement zilipotoka hakupata na aliyepata alikua kwenye written kapata 58 zilikua ni post za wizara ya maliasili na utalii.
 
Haya mambo ni bahati
 
Iko hivi watu wanashindwa kuelewa kuna mtu alipata 95 written ila hakupata kazi, inawezekana kabisa na wengine wanahisi amehujumiwa kumbe alifanya vibaya oral interview

Mkiwa shortlisted watu 100 mnapoingia oral interview mnaanza na moja means marks za written hazitumiki tena, sasa watu wanafikiria marks zao za written zitawaokoa na wanabweteka hivo inafanya aliepata marks 60 au 50 kwene written kupata kazi kwa sababu alijipanga vizuri kwene oral na anapata kazi
 
Kama kichwa kinavyojieleza,
Nina mpwa wangu naishi naye alifanya usaili utumishi kwa kada ya sheria.

Katika mtihani wake alibahatika kupata 90/100 akaibuka wa kwanza kwenye mtihani wa kuandika.

Lakini cha ajabu mpaka sasa hajaitwa kazini.

Tumekua nawasiwasi labda alitudanganya.

Hivi inawezekana mtu akawa wa kwanza kwenye usaili wa kuandika wa utumishi alafu asiitwe kazini. Na ukizingitia anadai kwamba alipata 90/100.

[emoji23][emoji23][emoji23]. Mtihani wa written ni mchujo. Oral wanaanza upya kaka.

Kama uliongoza written ila oral ukazingua, hauitwi.
 
Kama kichwa kinavyojieleza,
Nina mpwa wangu naishi naye alifanya usaili utumishi kwa kada ya sheria.

Katika mtihani wake alibahatika kupata 90/100 akaibuka wa kwanza kwenye mtihani wa kuandika.

Lakini cha ajabu mpaka sasa hajaitwa kazini.

Tumekua nawasiwasi labda alitudanganya.

Hivi inawezekana mtu akawa wa kwanza kwenye usaili wa kuandika wa utumishi alafu asiitwe kazini. Na ukizingitia anadai kwamba alipata 90/100.
Muache kijana hakuwa na connection
 
Kuna jamaa tulifanya written akapata 92, practical akawa chini ya 50, hata Mimi nliopata 65 nliumia japo nlipata nafasi mpka kifika oral .
 
Iko hivi watu wanashindwa kuelewa kuna mtu alipata 95 written ila hakupata kazi, inawezekana kabisa na wengine wanahisi amehujumiwa kumbe alifanya vibaya oral interview

Mkiwa shortlisted watu 100 mnapoingia oral interview mnaanza na moja means marks za written hazitumiki tena, sasa watu wanafikiria marks zao za written zitawaokoa na wanabweteka hivo inafanya aliepata marks 60 au 50 kwene written kupata kazi kwa sababu alijipanga vizuri kwene oral na anapata kazi
Uko sahihi
 
Back
Top Bottom