DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Ukisikiliza wanasiasa unaweza kubaki Midomo wazi
Shule yenye wanafunzi 700 kuwa na Walimu watatu hii maana yake walimu wanachokifanya ni kugeuka maaskari. Tu kuhakikisha wanafunzi wanalindwa ili wasiumizane na warejee majumbani kwao salama
Nimeshuhudia haya maeneo mengi ya vijijini Hakuna walimu .
Changamoto Serikali haina fedha za ku-recruit walimu Basi waambie wazazi wachangie Asilimia ndogo ili angalau watoto wao wapate kufundishwa .
Pia watu wanazaliana Sana na hii inapelekea kila mwaka the number of enrollment kuongezeka kwa kasi kubwa
mzazi unaweza kuchangia chochote kitu ili mwanao Apate Elimu Bora na afikie Malengo yake usishindane na wana-siasa