Hivi ingekuwaje 2015 kama tusingempata Hayati Magufuli kwa nchi ilipokuwa imefikia?

Kwanini uumize watu wengine kwa insecurities zako binafsi, Tena yeye aliyejiona mzalendo badala atendee ushaur wa wapinzani akawa anawatesa,naona katutudisha nchi yetu hatua nyingi nyuma.
 
Mkapa,Kikwete na wengineo walikuwa wanatumia usafiri gani kuzunguka dunia kama Samiah asingeenda Kenya????
 
Mkapa,Kikwete na wengineo walikuwa wanatumia usafiri gani kuzunguka dunia kama Samiah asingeenda Kenya????

Sijawahi kuikubali style ya uongozi wa mwendazake
Nalog off
Kweli kabisa.
 
Kama tusingempata JPM 2015 tungekuwa hapa:
1. SGR ingekuwa imsafika Mwanza siku nyingi. Wakati anaingia maandalizi yote yalikuwa yamekamilika ikiwemo mkopo kutoa Eximbank ya
China. Yeye akafuta mkopo huo kwa hisia kwamba kuna ulaji na akaanza kujenga reli hiyo kwa fedha za ndani.
2. Bandari ya Bagamoyo ingekuwa imeshajengwa. Ajira zipatazo 20,000 zingekuwa zimeshapatikana. Tusingekuwa na Machinga economy
3. LNG plant ya Lindi ingekuwa imeshajengwa na ingekuwa inatoa megawatt 3,000 za umeme
4. Miji ingekuwa misafi. Tusingekuwa na Machinga economy kama ilivyo sasa.
5. Kusingekuwa na fedheha ya wizi wa kura kama ilivyokuwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 na na ule wa serikali za mtaa wa 2019. Kilichotokea ilikuwa ni aibu na fedheha kwa taifa zima.
6. Watu kadhaa wasingekuwa wamepoteza maisha yao - Ben Saanane, Azori Gwanda, Akwilina Akwilini na wengine wemgi.
7. Tundu Lissu asingepigwa risasi mithili ya nyati!

Nwasilisha
 
Magufuli aliwakomboa sana kifikra watanzania.
Katiba ,lockdown, barakoa ,chanjo zote ni porojo zilizopuuzwa na wananchi
 
Tumpumshe mzee wa watu. Si busara kumsema marehemu maana hawezi kujitetea. Tugange yajayo

NB. HAKUNA BINADAMU MKAMILIFU
Wewe ulitaka asemwe lini wakati akiwa hai alikuwa ni wa kutukuzwa tu, ulikuwa ukijaribu kumkosoa tu unapambana uso kwa uso na wasiojulikana.!

Ngoja watu wamseme kwa sababu ndio fursa na pia wako salama hata hivyo. Hili litakuwa ni funzo kwa wenye akili kama zake kwa maana wapo tu kwenye jamii yetu.

Ila ukweli ni kwamba, huyo jamaa alikuwa ni mtu bogus ni hakuna mfano, ngoja afe nchi ipumzike.
 
Yaani Lowassa ndio angeendeleza wizi mara kenda ya ule wa Kikwete na Magufuli. Halafu taasisi zote nyeti wangejaa watu wa Arusha, Kilimanjaro na Manyara, kama vile CRDB walivyojaa wachaga.
 
Hata Chadema kupitia wabunge wake kule Bungeni walisema nchi inahitaji Rais Dikteta, cha ajabu baada ya maombi yao kujibia wanakuja tena na kujiliza liza hapa.
 
Kwann mnafungua nyuzi kumuongelea huyu jambazi, mkabila, mkanda, muuwaji, mtekaji, mwenye roho mbaya, mbaguzi, mwnye kauli chafu, mtukanaji mbele ya hadhara, n.k?

Huyu ni chukizo mbele za Mungu na wanadamu.
Lowasa angekuwa Rais, leo hii wakurugenzi na madc wooote wangekuwa ni watu kutoka Arusha, Manyara na Klm
 
Uchumi na democracy ndo sifaa kuu ya maendeleo. Kwa hiyo jpm aliharibu kila kitu maana iriharibu inner core ya maendeleo akabaki anapapasa tu au anapuyanga kama zitto kabwe
Uarabuni kuna ubabe lakini hatuwafikii kwa maendeleo
 

[emoji706]
 
Mkuu nyanyua mkono mmoja juu ujipige pige kifuani ukiri ujinga wako!
Yaani mtu ameharibu uchumi na demokrasia lakini kwako bado ni bora tu kwako.
 
Yani unakubali tulikuwa tunahitaji rais dikteta, halafu unasema JPM aliharibu democracy.

Mbona kama unajipinga mwenyewe?
 
Tungekuwa tayari kwenye machafuko bila ubishi.

Gap la matajiri na maskini lilikua kubwa sana,

Na ukandamizaji wa haki za watu wa chini ulikua mkubwa vile vile,

Ilibakia miaka mingine mitano tu watu waingie barabarani.

Magufuli alijitahidi sana kurestore order.

Amefanya kazi nzuri sana.

Ila Sasa naona tunataka kurejea tulikotoka.

Rais anatakiwa afahamu kuwa watu waliochagua serikali hii ni watu WA aina gani.

Sio investors na Hawa watu wenye makampuni makubwa wanaoitwa wawekezaji .

Ni watu wa hali ya nchini ambao walikua na Imani na mtangulizi wake, hao ndio anatakiwa kuwa nao karibu,

Hao ndio watakaompigia kura kama akitaka kugombea tena,

Uamuzi ni wake.
 
Mafutamingi,vipi unakumbuka lakini Mhe,Mnyika aliwahi sema bungeni kwamba Jk ni Rais dhaifu na tunahitaji Rais dikiteta asiecheka na mtu?
 

Unatakwimu za korona au unaropoka tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…