Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Sasa turudi kwenye hoja yangu jamii wanamtaa,ndugu,au marafiki wanamuonaje kijana wa kiume ambaye hajaoa au amekaa mda mrefu bila mwenza
Ungeweka sawa bila kuwa na demu au bila kugegeda! Kama ni bila kuwa na demu inawezekana labda bila mgegedo ndio shida.Mmh ila kwa mwanaume inatia ukakasi kidogo. Miaka 3-5 bila demu duuuh.
Sii anatafuna mbususu huko badoo ya nini umiliki ng'ombe wakati maziwa yanapatikana kirahisiMmh ila kwa mwanaume inatia ukakasi kidogo. Miaka 3-5 bila demu duuuh.
Jamaa kasema hajihusishi kabisa na hizo mambo mkuu.Sii anatafuna mbususu huko badoo ya nini umiliki ng'ombe wakati maziwa yanapatikana kirahisi
Yaani jamaa hapendi mbususu🤔🤔🤔Jamaa kasema hajihusishi kabisa na hizo mambo mkuu.
Daah apo ndo utata unapoibuka aiseeYaani jamaa hapendi mbususu🤔🤔🤔
Mipango imetofautianaNataka kujua huwa jamii huwa wanamchukuliaje kijana wa kiume ambaye amekaa muda mrefu bila mwenza pengine tangu amalize chuo atakaa ata miaka 3 - 5 hana demu wala mke hata mtoto wakuzingiziwa yeye hana
Nilishawahi kwenda mahali fulani mizunguko ya hapa na pale sasa kuna nyumba moja
Kuna jamaa hapo bdo yupo kwa mama hapo walitofautia kidogo na dada yake ugomvi ulivyozidi kama unavyojua Tena wanawake akamchana jamaa
'ndo mana utaki kuoa huo wote ni uchoyo tu'
Sasa turudi kwenye hoja yangu jamii wanamtaa,ndugu,au marafiki wanamuonaje kijana wa kiume ambaye hajaoa au amekaa mda mrefu bila mwenza